Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
block tu mkuu, za kuchoma dsm hii nazitoa waptofali za block au ?za kuchoma
sawa mkuu, nawasubiriKongole kwako.
WAJUZI WANAKUJA KUKUPATIA UJUZI (WASUBIRI).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
ahaa sawa mkuu ngoj tuje na mahesabu kamiliblock tu mkuu, za kuchoma dsm hii nazitoa wap
😂 au sioKalaga baho
sawa mkuu, bedroom ina mita 3 kwa mita 3, sitting hall nayo ni hivyo. toilet ina mita 1.5 kwa 2 na kitchen hivyohivyo. Nategemea dirisha hizi kuwa za mita mbilimbili. dirisha za choo na kitchen ndo sijui zinakuagana ukubwa ganahaa sawa mkuu ngoj tuje na mahesabu kamili
sawa mkuusawa mkuu, bedroom ina mita 3 kwa mita 3, sitting hall nayo ni hivyo. toilet ina mita 1.5 kwa 2 na kitchen hivyohivyo. Nategemea dirisha hizi kuwa za mita mbilimbili. dirisha za choo na kitchen ndo sijui zinakuagana ukubwa gan
tofali tu mkuu. haya ya landscape sijajua una maana gani ila eneo tambarare. nategemea ukuta mmoja wa rum nasimamisha tofali kumi na sita (NNE za kufukia) kuanzia juu hadi chini1. Piga hesabu ya tofali.
2. Tafuta fundi nyingine
fact :
1. Hatujui landscape ikoje.
2. Udongo ukoje.
3. Upo mkoa gani.
4. Unataka paua na nini
tofali tu mkuu. haya ya landscape sijajua una maana gani ila eneo tambarare. nategemea ukuta mmoja wa rum nasimamisha tofali kumi na sita (NNE za kufukia) kuanzia juu hadi chini
Mkuu kuna ka mjengo ka sampuli hiyo nimewai fanyia mahesabu ni around tofali 1000 tu, trust me hakatazidi hapo.Habari ya muda huu,
Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.
Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
wa mkuuMkuu kuna ka mjengo ka sampuli hiyo nimewai fanyia mahesabu ni around tofali 1000 tu, trust me hakatazidi hapo.