Habari zenu wanajamii.
Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year).
Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply.
Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia Research mtaji wake ni kama 90k (Elfu tisini).
Nimejaribu kuangaza huku na huko lakini hola sijafanikiwa kuipata hata kwa mkopo. Nmetizama mali zangu zote sijaona hata cha kuuza nipate hiyo capital.
Simu yangu yenyewe haifai kabisa kuuzika yani imeharibika mno.
Kilicho nileta hapa naombeni ushauri wenu naweza kufanya kazi gani ya (halali) ili niweze kupata hiyo pesa (ndani ya two weeks) kwa kutumia mtaji wa (nguvu na akili) because naona hiyo ndo option kubwa iliyobaki.
Pia kazi nzito sana kama za kubeba mizigo mizito au kusimama muda mrefu sana kama zile za viwandani siwezi kufanya sio kama nachagua kazi hapana. Naombeni mawazo na ushauri wenu.
Mimi ni ke, 23 yrs nipo Dar es Salaam.
Shukran.