Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,875
- 12,665
Kuwa makini hakuna pesa za bureWapi kaka, naomba maelekezo vizuri.
Kuwa makini hakuna pesa za bureWapi kaka, naomba maelekezo vizuri.
Kama unataka ufanye hiyo kazi pale kariakoo anza na uwinga au uwe agent wa ku deliver vitu kwa wanaonunua jumla mwisho wa siku utapata pa kuanziaJewelry (basically hereni, cheni na urembo tofauti tofauti).
Nashkuru sana kwa ushauri wako.Kama unataka ufanye hiyo kazi pale kariakoo anza na uwinga au uwe agent wa ku deliver vitu kwa wanaonunua jumla mwisho wa siku utapata pa kuanzia
Option ya pili ingia mkopo hiyo pesa ni ndogo sana kama ni mtumiaji mzuri wa mitandao mitandao miwili tu voda na Yas wanakupatia hiyo pesa bila shida yoyote
Sawa.Kuwa makini hakuna pesa za bure
Hahahaha nabeti na meno? Sina hela mie.Kubeti TU ila tumia akili sija timu zikachana😁😁
Ok, machimbo ya wapi hayo? Niharakie chapAcha kuwaza sana njoo machimboni uvumilivu tuu ukiiheajimu pesa hata mara tano ya hiyo unaipata Kwa mwezi moja
Nipo dar, halafu mie sio kaka.Kaka machimbo ni mengi tz sema wewe upo wapi nikuelekeze palipo karibu maana wenzako sisi watembezi sana
Amiin kaka.Kiswahili ni lugha ambayo mtu akiandika kitu bila kusema ni jinsia gani watu hawaelewi
Ingawa mimi nimeliona jina ni mdada ila wengi Hawaiians hilo
Nakuombea mafanikio mema ila ungeainisha mwanzo ili wajue
All the best.Habari zenu wanajamii.
Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year).
Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply.
Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia Research mtaji wake ni kama 90k (Elfu tisini).
Nimejaribu kuangaza huku na huko lakini hola sijafanikiwa kuipata hata kwa mkopo. Nmetizama mali zangu zote sijaona hata cha kuuza nipate hiyo capital.
Simu yangu yenyewe haifai kabisa kuuzika yani imeharibika mno.
Kilicho nileta hapa naombeni ushauri wenu naweza kufanya kazi gani ya (halali) ili niweze kupata hiyo pesa (ndani ya two weeks) kwa kutumia mtaji wa (nguvu na akili) because naona hiyo ndo option kubwa iliyobaki.
Pia kazi nzito sana kama za kubeba mizigo mizito au kusimama muda mrefu sana kama zile za viwandani siwezi kufanya sio kama nachagua kazi hapana. Naombeni mawazo na ushauri wenu.
Mimi ni ke, 23 yrs nipo Dar es Salaam.
Shukran.
Kila la kheri , mafanikio mema.Habari zenu wanajamii.

Ntakufundisha😁😁😁Hahahaha nabeti na meno? Sina hela mie.
Nakutania, no siwezi beti.