Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane
 
Haitapoa sababu yeye hana muda nawe.. na amekuwa hana mpango wa ndoa nawe.. songa mbele.. Mwachie Mola
siangalia kuhusu yeye naangalia kuhusu roho yangu, naipa faraja roho yangu sitaki kujua yeye ana muda na mimi au hana muda na mimi, i dont care, but i need to do somthing
 
Kwa miaka hyo nane ujawai kupiga demu3 mwingine tofaut na yeye uliye nae??? Ujibu hili nakupa mbinu ya kumfanya huyo bint.
 
Achana na haya mambo. Nani alikuambia huyo binti atakuwa mchumba wako pekee yako? Wala usijisikie vibaya kuachana nae na kutafuta demu mwingine.
Tena usiwe na demu mmoja tena. Tafuta watatu au wanne na wawe pisi kali haswa. Akizingua mmoja una wengine watatu wametulia ,ndivyo maisha yanaenda.
Tafuta maisha uweze kutimiza ndoto zako sio kufikiria binti kakutenda.
 
siangalia kuhusu yeye naangalia kuhusu roho yangu, naipa faraja roho yangu sitaki kujua yeye ana muda na mimi au hana muda na mimi, i dont care, but i need to do somthing
Sharing yako.. kila la kheri
 
Atuambie na hizo pesa amemjengea nyumba?kamnunulia gari? Au biashara au hizi hizi pesa za chipsi na kuku 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
Itakua ya chips....kama kamjengea inabidi tumsaidie kumkamata huyo dada ili ampe kichapo.
 
Japo kuna maneno mengi sana umekosea kuyaandika kiusahihi ila hili nakupa udhuru huenda ni kutokana na jambo lilivyo kita mtima wako.

Twende kwa mtindo huu,kwanza umefanya kosa kubwa sana la kiufundi,huwezi ukawa na binti muda mrefu huo katika mahusiano bila ndoa. Hii ulistahili. Lazima tuelezane ukweli.

Pili,hujawahi kucheat kijana ? Kama ndiyo au hapana unalo takiwa kufanya ni moja tu MSAMEHE acha aende zake hivi ndivyo sisi WANAUME huwa tunafanya. Sababu tuna mambo mengi sana ya kufanya.
 
Mbona anaruka swali hili?
 
Mjibu Extrovert kwanza nami nipate picha nijue nakushauri vipi? Halafu acha kukopi na kupesti majibu yako.
Wazi!
 
Wanaume uwa mnavituko sana....sasa unaposema ulikuwa unamhudumia ww ulikuwa uichakati papuchi yake......[emoji25]

Miaka nane yote hiyoo......ww sema bado unampenda lakini yeye akupendi tena kubaliana na ukweli tu..

Samehe na endelea mbele ukiamini akuwa fungu lako.
 
Sikiliza wimbo wa MPELEKEE MOTO. halafu uje hapa.
 
Usaliti ni swala la kawaida tu kwenye mahusiano hata ya ndoa, cha msingi usipekue simu ya mpenz/mke wako maana utayakuta unayoyatafuta tu. Hata ukimuacha huyo alafu uoe mwengine huyo mpya pia lazima akusaliti tu hata kama ni kimya kimya maana wanapata vishawishi ambavyo mda mwengine kuviruka ni ngumu sana.
 
Kabisa...vishawishi vingine ni shida...unajikuta tu unachepuka...[emoji849][emoji849]
 
sikatai, ila naitaji nimpe suprise ya jambo mkuu kwa upande wangu sijawahi msaliti kabisa, nahitaji kumpa zawadi yake
 
Hupaswi kusema alikupotezea muda kwa sababu kimsingi wote mlikuwa wanafunzi huku mkifanya zinaa. Ingekuwa wewe unafanya kazi halafu unamsubiri yeye amalize masomo hapo sawa. Kuhusu pesa, ni pesa gani ya kutisha ulikuwa nayo wewe kama mwanafunzi? Hizo vichenchi ulivyokuwa unampa fanya kama alikuwa anakuuzia papuchi tu.
 
sikatai, ila naitaji nimpe suprise ya jambo mkuu kwa upande wangu sijawahi msaliti kabisa, nahitaji kumpa zawadi yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Samehe Mkuu...mapenzi yana mambo mengi.

Hata mm nimewai kutana na situation kama iyo...mm niliomba msamaha na kusema siwezi kuendelea tena lakini nilijibiwa hakuna msamaha mpaka kesho kwa Mungu.

Kisingizio kama mada yako eti kaniudumia Sana. Sikatai lakini je hakuwa ananikula [emoji17][emoji17]

Na mm nilijibu kibingwa poa tu Muamuzi wetu atakuwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…