Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

Umekaa nae miaka nane bila ndoa halafu unaachwa unalialia. Mtu gani akuvumilie miaka yote hiyo ambapo kama mngezaa mtoto mwaka mlipoanza mahusiano angekuwa STD III. Kwa ufupi wewe ndio umezingua na inaonekana ni mbinafsi sana. Achana na kulipiza kisasi. Kisasi analipiza MUNGU tu wewe
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane
 
Haitapoa sababu yeye hana muda nawe.. na amekuwa hana mpango wa ndoa nawe.. songa mbele.. Mwachie Mola
siangalia kuhusu yeye naangalia kuhusu roho yangu, naipa faraja roho yangu sitaki kujua yeye ana muda na mimi au hana muda na mimi, i dont care, but i need to do somthing
 
Kwa miaka hyo nane ujawai kupiga demu3 mwingine tofaut na yeye uliye nae??? Ujibu hili nakupa mbinu ya kumfanya huyo bint.
 
Achana na haya mambo. Nani alikuambia huyo binti atakuwa mchumba wako pekee yako? Wala usijisikie vibaya kuachana nae na kutafuta demu mwingine.
Tena usiwe na demu mmoja tena. Tafuta watatu au wanne na wawe pisi kali haswa. Akizingua mmoja una wengine watatu wametulia ,ndivyo maisha yanaenda.
Tafuta maisha uweze kutimiza ndoto zako sio kufikiria binti kakutenda.
 
siangalia kuhusu yeye naangalia kuhusu roho yangu, naipa faraja roho yangu sitaki kujua yeye ana muda na mimi au hana muda na mimi, i dont care, but i need to do somthing
Sharing yako.. kila la kheri
 
Atuambie na hizo pesa amemjengea nyumba?kamnunulia gari? Au biashara au hizi hizi pesa za chipsi na kuku 🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
Itakua ya chips....kama kamjengea inabidi tumsaidie kumkamata huyo dada ili ampe kichapo.
 
Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,

uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.

nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.

Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.

NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.

Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.

WATU WANAULIZA IWEJE NIMEKAA NAE MIAKA YOTE IYO NANE (8) UFAFANUZI WANGU NI HUU:

nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane.
Japo kuna maneno mengi sana umekosea kuyaandika kiusahihi ila hili nakupa udhuru huenda ni kutokana na jambo lilivyo kita mtima wako.

Twende kwa mtindo huu,kwanza umefanya kosa kubwa sana la kiufundi,huwezi ukawa na binti muda mrefu huo katika mahusiano bila ndoa. Hii ulistahili. Lazima tuelezane ukweli.

Pili,hujawahi kucheat kijana ? Kama ndiyo au hapana unalo takiwa kufanya ni moja tu MSAMEHE acha aende zake hivi ndivyo sisi WANAUME huwa tunafanya. Sababu tuna mambo mengi sana ya kufanya.
 
Mkuu mi naomba nipate tu picha halisi kwamba huyo manzi alianza vituko vituko au kakuchinjia baharini kmya kimya, na je mna umri gani kwa sasa wewe na yeye? Vipi alishaulizia habari za wewe kwenda kwao na ukapotezea? Mlikuwa mnaishi pamoja au kila mtu kapanga kwake? Calibre yake ipoje ni wale mademu wapole na wasikivu au much know flani wale opportunistic waliokaa kijanja janja? Hali ya mawasiliano yenu ilikuaje before where you good communicators au we ulimuachia mzigo wa kukupigia simu huku ukiwa busy mda wote tu? Ulikuwa unamsikiliza akili yake na kuitafsiri kwa yale ambayo alikuwa analalamikia? Yataje!

Hii itanisaidia kumchagulia adhabu inayomstahili!
Mbona anaruka swali hili?
 
Mjibu Extrovert kwanza nami nipate picha nijue nakushauri vipi? Halafu acha kukopi na kupesti majibu yako.
Wazi!
 
Wanaume uwa mnavituko sana....sasa unaposema ulikuwa unamhudumia ww ulikuwa uichakati papuchi yake......[emoji25]

Miaka nane yote hiyoo......ww sema bado unampenda lakini yeye akupendi tena kubaliana na ukweli tu..

Samehe na endelea mbele ukiamini akuwa fungu lako.
 
Sikiliza wimbo wa MPELEKEE MOTO. halafu uje hapa.
 
Usaliti ni swala la kawaida tu kwenye mahusiano hata ya ndoa, cha msingi usipekue simu ya mpenz/mke wako maana utayakuta unayoyatafuta tu. Hata ukimuacha huyo alafu uoe mwengine huyo mpya pia lazima akusaliti tu hata kama ni kimya kimya maana wanapata vishawishi ambavyo mda mwengine kuviruka ni ngumu sana.
 
Usaliti ni swala la kawaida tu kwenye mahusiano hata ya ndoa, cha msingi usipekue simu ya mpenz/mke wako maana utayakuta unayoyatafuta tu. Hata ukimuacha huyo alafu uoe mwengine huyo mpya pia lazima akusaliti tu hata kama ni kimya kimya maana wanapata vishawishi ambavyo mda mwengine kuviruka ni ngumu sana.
Kabisa...vishawishi vingine ni shida...unajikuta tu unachepuka...[emoji849][emoji849]
 
Usaliti ni swala la kawaida tu kwenye mahusiano hata ya ndoa, cha msingi usipekue simu ya mpenz/mke wako maana utayakuta unayoyatafuta tu. Hata ukimuacha huyo alafu uoe mwengine huyo mpya pia lazima akusaliti tu hata kama ni kimya kimya maana wanapata vishawishi ambavyo mda mwengine kuviruka ni ngumu sana.
sikatai, ila naitaji nimpe suprise ya jambo mkuu kwa upande wangu sijawahi msaliti kabisa, nahitaji kumpa zawadi yake
 
Hupaswi kusema alikupotezea muda kwa sababu kimsingi wote mlikuwa wanafunzi huku mkifanya zinaa. Ingekuwa wewe unafanya kazi halafu unamsubiri yeye amalize masomo hapo sawa. Kuhusu pesa, ni pesa gani ya kutisha ulikuwa nayo wewe kama mwanafunzi? Hizo vichenchi ulivyokuwa unampa fanya kama alikuwa anakuuzia papuchi tu.
 
sikatai, ila naitaji nimpe suprise ya jambo mkuu kwa upande wangu sijawahi msaliti kabisa, nahitaji kumpa zawadi yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Samehe Mkuu...mapenzi yana mambo mengi.

Hata mm nimewai kutana na situation kama iyo...mm niliomba msamaha na kusema siwezi kuendelea tena lakini nilijibiwa hakuna msamaha mpaka kesho kwa Mungu.

Kisingizio kama mada yako eti kaniudumia Sana. Sikatai lakini je hakuwa ananikula [emoji17][emoji17]

Na mm nilijibu kibingwa poa tu Muamuzi wetu atakuwa Mungu
 
Back
Top Bottom