Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okNdo maana nawaelwa waislamu na ule msemo wao wa kisasi ni haki "mseng.e, mseng.e mwnywe"
Asingeweza kusoma mawazo yako mkuu...mika 8 mingi mno kukaa na mtoto wa watumkuu, kumbuka nimesema nilikuwa na malengo nae na sikuwahi kuwaza kumpotezea muda wake.
Miaka 8 unasema haujawaza kumpotezea muda??? Miaka 8 kwa mwanamke ujue ni mingi tukirefer kuwa mwanaume hazeeki hata miaka 70 utaoa tu.mkuu, kumbuka nimesema nilikuwa na malengo nae na sikuwahi kuwaza kumpotezea muda wake.
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka naneMiaka 8 unasema haujawaza kumpotezea muda??? Miaka 8 kwa mwanamke ujue ni mingi tukirefer kuwa mwanaume hazeeki hata miaka 70 utaoa tu.
Kama ulimkuta ana miaka 22 sahivi tunaongea ana 30 afu wasema una malengo???
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka naneAsingeweza kusoma mawazo yako mkuu...mika 8 mingi mno kukaa na mtoto wa watu
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nanemen are selfish women are slaves
Umeshamaliza maswali yangu yote. Hasa hapo kwenye umriMkuu mi naomba nipate tu picha halisi kwamba huyo manzi alianza vituko vituko au kakuchinjia baharini kmya kimya, na je mna umri gani kwa sasa wewe na yeye? Vipi alishaulizia habari za wewe kwenda kwao na ukapotezea? Mlikuwa mnaishi pamoja au kila mtu kapanga kwake? Calibre yake ipoje ni wale mademu wapole na wasikivu au much know flani wale opportunistic waliokaa kijanja janja? Hali ya mawasiliano yenu ilikuaje before where you good communicators au we ulimuachia mzigo wa kukupigia simu huku ukiwa busy mda wote tu? Ulikuwa unamsikiliza akili yake na kuitafsiri kwa yale ambayo alikuwa analalamikia? Yataje!
Hii itanisaidia kumchagulia adhabu inayomstahili!
Sio sababu aseee alitakiwa awe na mtu ambae yupo tayari kwa maisha.... okay swali langu narudia unazuga haujaliona HAUJAWAHI KULA PAPUCHI NYINGINE HIYO MIAKA 8????nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka nane
Kukaa na binti wa mtu miaka 8 wewe unaona sawa au unajitoa ufahamu. Huu ni muda mtu yeyote mwenye akili timamu alipaswa afikiri mara mbili kuhusu huo uhusiano, kama kuna matunda au ni kuchezeana tuHabari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance, chuo, na baada ya kuingia kazini baada ya masomo nikaanza taratibu za kutaka kumuoa). na nia na madhumuni yangu nilitaka kumuoa mwaka huu huu. uyu binti nimesha poteza pesa, muda na ata kuatalisha maisha yangu kwaajili yake,
uyu binti nilimkamata na ushaidi usio na shaka kuwa anatoka na mtu mwingine (ninaposema usio na shaka namaanisha sijamsingizia mungu shaidi), cha ajabu akawa anajihami wala ajaangaika kuomba msamaa wowote ule (sijamaanisha kuwa aombe msamaa turudiane hapa, ni ule msamaa wa kuonyesha tu amekosa ingawaje kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake) ndugu zangu siku ile ile nili-stop kuwasilina nae. sikuwahi kumtafuta kwenye maisha yangu yote (namaanisha tangu siku ya fumanizi), nikili ndugu zangu nime-inverst sana kwake yule dada nimepoteza sana muda wangu, sikuwahi kuwaza kuoa au kuwa na mwanamke mwingine ukiachana na yeye, amenisaliti amenionyesha kiburi.
nina cha kumlipa uyu bi-dada, nimekaa nimetafakari sana kuhusu uyu dada kuna kitu anastahili akipate, kalma is bitch, kuna maneno wanasema "move on na uendelee na maisha yako wanawake wapo wengi" ni kweli ila kwangu nahisi uyu bi-dada kuna kitu anastahili nimuachie ili asije nisahau kwenye maisha yake, nae pia ajifunze kitu hapa ulimwenguni, naombeni ushauri wenu wakuu kipi nimpatie ili iwe kumbukumbu pekee ambayo itabaki kwenye maisha yake yote.
Nilisha mwambia mapema sana kuwa awe makini asije akajaribu kuni cheat kama anaona hana malengo na mimi aondoke mapema tu kwenye maisha yangu (ilikuwa mwaka wa 1, 2,3... kwenye mahusino yetu).
Sipendi kumpotezea mtu muda kama sina malengo naye, ila ili la mimi kupotezewa muda nahisi limeniuma mnoo, kupoteza gharama zangu kwake limeniuma mnoo, binti kunidharau limenisikitisha sana.
NOTE: KUAMBIWA MOVE ON, UKIACHA ACHIKA, WANAWAKE WAPO WENGI AYO YOTE NAYATAMBUA ILA KWENYE ILI NAITAJI KUPATA KITU CHA KU-APPLY KWA UYU BI DADA, ILI UKO ATAKAPO KWENDA AWE NA ADABU.
Kuna mdau nilisoma uzi wake unasema: Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua
Uyo mdau nilielewa kwanini alifanya ivyo, kuna ile feeling naipata kwa maumivu alio achiwa moyoni, nami naitaji kufanya kitu, najua wadau mliopo humu mtanipa mbinu mikakati mizuri ikawe fundisho kwa binti ambaye ni msaliti.
nimeanza nae mausiano tangu nikiwa kidato cha pili mkuu (2 years olvel), je ningemuoa baada ya kumaliza form four ili hali wote tulikuwa kwenye miangaiko ya kuisaka elimu, nikaenda advanvace (2 years), je ningemuoa wakati namaliza advance ambayo kwenye mahusino tulikuwa ni 4 years, jibu ni hapa, nimeenda chuo 3 years, jumla miaka 7 nipo nae, mwaka wa 8 nikaingia kwenye ajira na kutangaza nia ya kumuoa, hapo kosa langu ni lipi, maana naona nahukumiwa kwa kukaa nae miaka naneKukaa na binti wa mtu miaka 8 wewe unaona sawa au unajitoa ufahamu. Huu ni muda mtu yeyote mwenye akili timamu alipaswa afikiri mara mbili kuhusu huo uhusiano, kama kuna matunda au ni kuchezeana tu
Yaan wamechachamaaa@mods tuunganishie hizi nyuzi tutoe ushauri kwa pamoja
naitaji kufanya kitu na roho yangu ipoePole... Huyo kakuchoka hata ufanyeje atakuona kama nyau tu mpiga kelele na tarumbeta.. achana nae move on.. umekaa unajiumiza mwenyewe huku hana muda na wewe tena.
Atuambie na hizo pesa amemjengea nyumba?kamnunulia gari? Au biashara au hizi hizi pesa za chipsi na kuku 🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️Miaka 8 unasema haujawaza kumpotezea muda??? Miaka 8 kwa mwanamke ujue ni mingi tukirefer kuwa mwanaume hazeeki hata miaka 70 utaoa tu.
Kama ulimkuta ana miaka 22 sahivi tunaongea ana 30 afu wasema una malengo???