Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

 
Daaah huu kwangu unataka kuwa ugonjwa mwingine..

Tangu kumekucha mpaka hapa naandika hii reply 50000 ishakatika. Na muda unakolekea kesho kutakucha karibu laki itaisha kiutani utani tu.😥
 
Acha kuhonga mzee babu
 
Umezaliwa mwezi gani?
 
Mkuu jifunze kusema hapana, sina.
Mbili rahisisha mahitaji.
Track your money
Track.
Track.
 
Kata bima ya afya baada ya hapo fungua account ya malengo. Ukipata hela muda huo huo ingiza acha kias kidogo cha matumiz then utakuja kunishukuru
 
Kata bima ya afya baada ya hapo fungua account ya malengo. Ukipata hela muda huo huo ingiza acha kias kidogo cha matumiz then utakuja kunishukuru
Mkuu account ya malengo ikoje ,
Tofauti na mleta mada mimi uhifadhi wa pesa benki at cheapest cost ndo sijajua ebu toa mwanga.
 
Kiukweli sio kama najisifu lakini kuipata hela yangu ukiwa ww sio mzazi wangu uache kazi ufanye kazi

Hua si hongi hovyo
Na kuepuka helo natafutaga partner wakueleweka ( hii kwa ambao hatujaoa), kumhudumia mchumba nitofauti na kudeal na variety of girls

Pili kwenye mavazi unatakiwa uwe na break ( ukifanya manunuzi hakikisha umenunua zakukutosha ) baada ya hapo ukiona nguo nzuri fanya kama huzioni atleast kwa mwaka waeza nunua mara moja au mara mbili kulingana na kipato chako

Sio kila anakuomba umkopeshe, nawe unamkopesha
Kama kuna uwezekano kula chakula unachokiandaa mwenyewe inasaidia kupunguzacost

Pia kumbuka sadaka Kwa Mungu wako, kusaidia wenye uhitaji bila kusahau kujali wazazi wako hata kama kwa kiaso kidogo kila mwezi au baada ya mud afulani , utapata fedha na itahifadhika
 
Nna ka tabia ka u-baba huruma, December naami nlitaitika nkahitaji nipate laki chapchap, nlihaso hadi sitamani mda urudi nyuma, nakagua phone book yangu hadi nahisi kupalalaiz,

Tuwe wachoyo kwa salama yetu kiuchumi.
 
Inatakiwa mianya ijifunge kwa miezi sita, baada ya hapo utakua mfano wa kuigwa
 
Unafanya kazi gani?

Kipati chako kwa siku Tsh ngapi?

Umepanga au unakaa kwenu /umejenga?

Una familia inayokutegemea?

Una usafiri binafsi au unategemea usafiri wa uma?

Unaishi wapi/mkoa gani?
 
Wewe lazima unavinasaba vya kipare.Unatafuta pesa ili iwe nini?Kazi na dawa my friend Life is short.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…