Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

Kama unasumbuliwa na hivi vitu

Pombe
Kuhonga Wanawake au kununua
Sigara/bangi
Marafiki wanaomba omba

Ukishashinda aina zote za uraibu anza kuwekeza katika self-investment ili ujue unahitaji nini katika haya MAISHA. Personal growth and well-being.

Baada ya hapo anza kuwekeza katika kumsaidia MTU na sio kufurahisha WATU.

Kumsaidia MTU ni katika long run either anaumwa, anahitaji mtaji ,amekwama Ada n.k na sio kufanya show-off ili kui-impress WATU.

Live below your means
Abstain Alcohol, sex , cigarettes ,nights- out,

"Money if you will save me today I will save you tomorrow"
 
Mkuu account ya malengo ikoje ,
Tofauti na mleta mada mimi uhifadhi wa pesa benki at cheapest cost ndo sijajua ebu toa mwanga.
Nenda nmb hapo waambie nataka kufungua account ya malengo. Mnakubaliana muda gan. Hata akifa baba yako hela haitoki mpaka ule muda ufike. Mi Wakat huo naanza life ilinisaidia sana.
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...
Hyo uninstall nmb app imenigusa mkuu, mana mwezi uliopita bank statement ilikua ni kitabu cha BS.
 
Jamani....

Naombeni mbinu za kuwa mchumi,,,,,nisitumie pesa hivyo,Hali hii inanitesa Sana.

Natafuta pesa kwa taabu mnoo....yaani kuipata Ile 20,000 NI kazi Sana lakini nikiwa na pesa matumizi yangu ni mabya mnoo

Yaani mwezi December Hadi February nafikir nimetumia zaidi ya 1M

Juzi Jana na leo nishatumia 170,000,

Sina kazi Wala kutegea uchumi chochote, Ila na haso huku na huko kutafuta

Alafu nikiombwa pesa kusema Sina siwezi,Kama ninayo lazima nitatoa tuuuu 😢😢

Tatizo linanitesa Sana, kwasababu nitakapokwama Sina MTU YEYOTE wa kunipatia hata 5000 nikiwawatizama ndugu na marafiki wanaonizunguka sioni wa kunisaidia nikikwama.

Nisaidieni niwe bahili, na mchumi niache matumizi mabaya ya pesa ninayoitafuta kwa taabu na nguvu nyingi.........

Nimewaona watu wakishinda na njaa huku Wana pesa mfukoni ....yaani nataka kuwa bahili Kama hivyo
Oa haraka mwanamke kutoka kabila la Kipare. Na tatizo lako nalo litaisha mara moja.
 
Jiwekee malengo ya kufanya jambo fulani la mendeleo ndani ya muda fulani

Mfano: miezi 6 ijayo ninunue kiwanja, baada ya kununua kiwanja miezi 6 mingine nianze ujenzi

Shikamana na malengo yako mpaka uyafikie kwa wakati kwa kudhibiti matumizi na kufanya saving
Hivi kwanini ukianza tu kufanya savings matatizo yanakufata kwa maandamano 🤔 Ilimradi tu account ibaki na vumbi na buibui
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...
We una akili sana. Ulivyo vielezea, asilimia Kubwa vinamata ktk njia za kutunza Pesa. [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie endeleeni kutunza pesa mkifa mnaziacha tena mnawaachia watu wanaojua kuzitapanya.
Kama hauwezi ubahili hautoweza tu hata ufanyaje ni sawa kumfundisha mtu mchoyo aache uchoyo.
 
Nunua vibubu weka ndani tupia ela zako umo, utapata uvivu wa kuvivunja
 
Kuna watu wakiwa na hela ata kidogo tu akili zinahama na mipango inapotea, hela zikiisha ndio akili zao zinarud na kukumbuka mikakati yote waliyowahi kuwa nayo.

Na wewe unaweza kuwa miongoni mwao, hiki nacho nikichaa na kina namna ya kukitibu na matibabu yake 100% ni psychological.
 
1. Usitembee na hela nyingi.
2. Usipende kulipa kwa card au Lipa Namba.
3. Uninstall NMB na CRDB Apps.
4. Kama bando linakufirisi punguza social medias.
5. No showoffs.
6. Kama unapenda kula kula anza kupika.
7. Badala ya kupeleka nguo Dry cleaner, ita mama fua.
8. Nunua iteams unazozihitaji.
9. Tumia formula: If you can't buy two now, then you can't afford it.
10. Ukitaka fanya shopping ya kitu chochote cha thamani zaidi ya Laki 1, jipe week moja mbele, uone kama still unakihitaji, usinunue kwa mihemko.
11. Punguza machawa.
12. Jitoe out cheap places (Cheap Thrills by Sia & Sean Paul)
13. Anza kufanya activities ambazo hazihitaji hela sana mfano jifunze kufua, kupika, kuosha gari, kupaka rangi ukuta, mazoezi etc)

Oya we...

Hiyo namba 1hadi 4 ndio zinazotusumbua wengi sana
 
Back
Top Bottom