Naombeni mbinu jinsi ya kuwa bahili, kubana bajeti

Kama unasumbuliwa na hivi vitu

Pombe
Kuhonga Wanawake au kununua
Sigara/bangi
Marafiki wanaomba omba

Ukishashinda aina zote za uraibu anza kuwekeza katika self-investment ili ujue unahitaji nini katika haya MAISHA. Personal growth and well-being.


Baada ya hapo anza kuwekeza katika kumsaidia MTU na sio kufurahisha WATU.

Kumsaidia MTU ni katika long run either anaumwa, anahitaji mtaji ,amekwama Ada n.k na sio kufanya show-off ili kui-impress WATU.


Live below your means
Abstain Alcohol, sex , cigarettes ,nights- out,

"Money if you will save me today I will save you tomorrow"
 
Mkuu account ya malengo ikoje ,
Tofauti na mleta mada mimi uhifadhi wa pesa benki at cheapest cost ndo sijajua ebu toa mwanga.
Nenda nmb hapo waambie nataka kufungua account ya malengo. Mnakubaliana muda gan. Hata akifa baba yako hela haitoki mpaka ule muda ufike. Mi Wakat huo naanza life ilinisaidia sana.
 
Hyo uninstall nmb app imenigusa mkuu, mana mwezi uliopita bank statement ilikua ni kitabu cha BS.
 
Oa haraka mwanamke kutoka kabila la Kipare. Na tatizo lako nalo litaisha mara moja.
 
Hivi kwanini ukianza tu kufanya savings matatizo yanakufata kwa maandamano 🤔 Ilimradi tu account ibaki na vumbi na buibui
 
We una akili sana. Ulivyo vielezea, asilimia Kubwa vinamata ktk njia za kutunza Pesa. [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie endeleeni kutunza pesa mkifa mnaziacha tena mnawaachia watu wanaojua kuzitapanya.
Kama hauwezi ubahili hautoweza tu hata ufanyaje ni sawa kumfundisha mtu mchoyo aache uchoyo.
 
Nunua vibubu weka ndani tupia ela zako umo, utapata uvivu wa kuvivunja
 
Kuna watu wakiwa na hela ata kidogo tu akili zinahama na mipango inapotea, hela zikiisha ndio akili zao zinarud na kukumbuka mikakati yote waliyowahi kuwa nayo.

Na wewe unaweza kuwa miongoni mwao, hiki nacho nikichaa na kina namna ya kukitibu na matibabu yake 100% ni psychological.
 

Hiyo namba 1hadi 4 ndio zinazotusumbua wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…