African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Yaaani hamjamliza hata mwaka ushamchoka?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Nimeingia kwa njia halali kabisa, sikulazimishwa ila sina furaha kabisa. Nadhani unaelewaYaaani hamjamliza hata mwaka ushamchoka?
Hebu tueleze, uliingiaje kwenye hiyo NDOA
Msikitinimmefungia ndoa wapi?
Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Hujajibu swali ipasavyo...yaani howezekani ndoa haina mwaka Halafu unasema hakuvutii...ulifanya maamuzi ya kumuoa Kwa msukumo gani?Nimeingia kwa njia halali kabisa, sikulazimishwa ila sina furaha kabisa. Nadhani unaelewa
Nini sababu?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
No matter what is going usije ukamtakia hata siku moja mke wako maneno uliyo andika hapa never you will regret one day.Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.