Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Wewe ni mpuuziHabari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Nani kakuambiwa ndoa ina majaribio?
Uliingia mwenye ndoa kwa mhemko sio?
Sasa Kula chuma hiko.
Nakuhakikishia huyo hutomuacha utampenda hivyo hivyo bwege wewe
Unaniboa Sana mpuuzi wewe