Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Wewe ni mpuuziHabari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Rudi kijijini kwenu kasalimie WazaziHabari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Ndoa haijatimiza hata mwaka, hajakukosea, wala hujamkosea, lakini unataka kuachana naye?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Pole. Ipo siku ukishajitambua utamkumbuka lakini wenye akili watakuwa tiyari wamemchukua na anaitwa mama fulaniKuna manzi ananipenda balaa na yupo tayari Kwa lolote anatamani sana nimuoe shida ayupo kwenye Moyo wangu ata kidogo nimelazimisha sana kumpenda kumuingiza moyoni mwangu lakini Moyo umegoma aisee dah ningeingia kwenye mtego Wa kumuoa na mi ningekoma
Hata mwaka bado?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Kwanini umesaini chochote?Habari zenu wana jamii. Naombeni mbinu na ushauri kwenye suala hili la ndoa.
Nahitaji kufanya maamuzi ya kujitoa kwenye ndoa ( kuachana na mke wangu ) sababu hanivutii tena. Hatujazaa wala hana ujauzito na ndoa yetu haijatimiza hata mwaka.
Yaani naona kama naulazimisha mwili wangu kwenye kiwili wili kisichonivutia.
Nahitaji kujinasua, sina furaha kabisa. Nifanye nini niweze kuachana nae kwa njia yoyote ile?
Mashekh siku izi ukiwapelekea hizo shida wanaruka na mkeoMkuu kwanza nikupe pole. Matatizo yaliyo katika mwaka mmoja tu wa ndoa mara nyingi yanatokana na mmoja wenu au kila mmoja wenu kutokufahamu vizuri nafasi yake.
Ushauri wangu
- Uwe na mtazamo wa kutoa kuliko kupokea zaidi, yani kumfurahisha mwenzio kuliko kutegemea wewe kufurahishwa.
- Do something to save your marriage, mambo hayajiweki sawa yenyewe. Ndoa haijengwi kwa upendo peke yake.
- Boresha mawasiliano, tumia lugha ya upole usiwe mwepesi kurusha maneno ya kuudhi
- Achana na kuwazia suala la yeye kushika mimba, assume yeye ndo mwanao wa kwanza.
- Jilazimishe kumpenda yani hata ikibidi ku pretend.
- Usipuuzie maarifa ya msingi ya tendo la ndoa. (Usitake kuwa expert, jitahidi tu kuboresha)
- Fanya mazoezi ya mwili, kula mlo sahihi
- Muandae mwenzako hata kwa kumnunulia vizawadi ukirudi
- Hali ikiendelea tafuta mtu anayeaminika aliyekuzidi umri, mwenye hekima akupe ushauri wa uwazi na uzoefu. Ni vizuri kuwa na mtu wa aina hii hata kama huna tatizo lolote bado. Kama wewe ni muislamu mtafute Sheikh mwenye busara zake akupe ushauri. Sio vizuri kuachana itaharibu mambo yako mengi baadae. Sijaona katika maelezo yako sababu ya kukufanya uwaze kuachana.
- Fanya hayo juu na utavuna utakachopanda.