Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

Sun is Sun

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2024
Posts
649
Reaction score
975
Wadau wa jamiiforums habari?
Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,
Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete.
Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia.

Umaskini unakera.
 
1. Ondoka hapo ulipo (hama mkoa)
2. Usifikirie kuhudumia kwenu (jijenge kwanza, sio kwa ubaya ila hautaukimbia huo umasikini ukijivika hayo majukumu sahivi. Kama chakula ni kidogo ni bora akala mmoja akapata nguvu tukamtuma kwenda kuleta kingi kilicho mbali)
3. Fanyakazi kwa kiasi, pata muda wakupumzika ili uweze kujitafakari na kuitafakari kazi unaifanya.
4.Acha lawama, kwa watu na mazingira

Ongeza bidii kiongozi
 
Kwanini ume mwambia ahame mkoa??, je ni vibaya mtu kupambania alipo zaliwa??
 
Back
Top Bottom