Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣😨😨😨Unaotuomba ushauri sisi wenyewe tunashinda kwenye Uzi wa kugombania vocha za buku buku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣😨😨😨Unaotuomba ushauri sisi wenyewe tunashinda kwenye Uzi wa kugombania vocha za buku buku.
😀😀 lazima mkuu aombewe afya njema na msg za quick recovery za kutosha 😀😀😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mgawa vocha akipata mafua nyuzi 7 mnashusha za kumwish get well soon......
Maisha yamekaza wallah...
Leejay49 Bantu Lady tunawaombea afya njema 😹
Mkuu kama ni kuomba sidhani kuna mtu ananifikia. Nimejitahidi sanaMkuu keep in hustling bila kusahau kumuomba mungu iwe kila hatua dua na kila siku uwe unajiombea na kujinenea baraka.
Sana pole mkuuUmaskini unakera.
Nina 23yrs. Sina Mke wala Watoto.Una umri gani mkuu...Una familia? (mke na watoto)
Utaushinda pale tu utakapoamua vizuri.Wadau wa jamiiforums habari?
KÃ ma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,
Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete.
Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia.
Umaskini unakera.
Wacha niendelee kupambana kwa kweli bandugu. Japo umaskini unatia hasira kwa kweli.Mlianza na mtaji wa buku sio na sasa hivi mabilionea.
Mwamba akomae tu, mdogo mdogo atatoka. Akileta papara ataendesha range huku kavaa pampers😃
Una taaluma gani,elimu, ufundi??Nina 23yrs. Sina Mke wala Watoto.
That's the spirit. Penye jitihada Mungu huweka rehma zake.Wacha niendelee kupambana kwa kweli bandugu. Japo umaskini unatia hasira kwa kweli.
Ngoja tuone.Keep husling.
To win any battle you must fight as if you're already dead
Kilimo cha mpunga kinahitaji mtaji wa shilingi ngapi kwa makadirio?Njoo kahama ulime mpunga
Kwa namna ipi Mama? Kama ni kuamua nilishaamua tayari.Utaushinda pale tu utakapoamua vizuri.
Nilisoma uphamasia mwaka mmoja, Ila kutokana na hali ngumu sikumaliza chuo. Maana kama ni msaada niliomba sana ili niendelee na shule niliambulia patupu. Kwa sasa napambania kombe mtaani kiufupi sichagui kazi.Una taaluma gani,elimu, ufundi??
Umaskini ni changamoto kubwa inayowakabili watu wengi duniani. Hapa kuna mbinu kadhaa za kuushinda umaskini:Wadau wa jamiiforums habari?
KÃ ma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu,
Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete.
Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia.
Umaskini unakera.
Sawa MkuuKeep husling.
To win any battle you must fight as if you're already dead
Laki mbili kwa heka mbiliKilimo cha mpunga kinahitaji mtaji wa shilingi ngapi kwa makadirio?
1. Ondoka hapo ulipo (hama mkoa)
2. Usifikirie kuhudumia kwenu (jijenge kwanza, sio kwa ubaya ila hautaukimbia huo umasikini ukijivika hayo majukumu sahivi. Kama chakula ni kidogo ni bora akala mmoja akapata nguvu tukamtuma kwenda kuleta kingi kilicho mbali)
3. Fanyakazi kwa kiasi, pata muda wakupumzika ili uweze kujitafakari na kuitafakari kazi unaifanya.
4.Acha lawama, kwa watu na mazingira
Ongeza bidii kiongozi