Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Kaandika uzi😂Umesema umepambana, umepambanaje ili tukupe maboresho ya njia ulizopambania kama itafaa....
Kapambana kwa kuandika uzi? 😁Kaandika uzi😂
Jitihada ya kwanza, ya pili ni kutumia mbinu mtakazompa ma don wa JF😃Kapambana kwa kuandika uzi? 😁
Shida sisi matajiri huwa tuna miiko yetu, hatutoi siri ya utajiri wetu.....Jitihada ya kwanza, ya pili ni kutumia mbinu mtakazompa ma don wa JF😃
Mlianza na mtaji wa buku sio na sasa hivi mabilionea.Shida sisi matajiri huwa tuna miiko yetu, hatutoi siri ya utajiri wetu.....
Kwanini ume mwambia ahame mkoa??, je ni vibaya mtu kupambania alipo zaliwa??1. Ondoka hapo ulipo (hama mkoa)
2. Usifikirie kuhudumia kwenu (jijenge kwanza, sio kwa ubaya ila hautaukimbia huo umasikini ukijivika hayo majukumu sahivi. Kama chakula ni kidogo ni bora akala mmoja akapata nguvu tukamtuma kwenda kuleta kingi kilicho mbali)
3. Fanyakazi kwa kiasi, pata muda wakupumzika ili uweze kujitafakari na kuitafakari kazi unaifanya.
4.Acha lawama, kwa watu na mazingira
Ongeza bidii kiongozi
Mimi nilianza na bustani ya mchicha sahivi nna mahekari ya miti ya mbao huko njombe.....siri ni kujituma sana na kusali 😹Mlianza na mtaji wa buku sio na sasa hivi mabilionea.
Mwamba akomae tu, mdogo mdogo atatoka. Akileta papara ataendesha range huku kavaa pampers😃
Itabidi nikutafute nikupe tender ya kusupply miti ya mbao kwa ajili ya kiwanda changu kikubwa nilichoanzisha kwa kuuza Alkasus tu.Mimi nilianza na bustani ya mchicha sahivi nna mahekari ya miti ya mbao huko njombe.....siri ni kujituma sana na kusali 😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mgawa vocha akipata mafua nyuzi 7 mnashusha za kumwish get well soon......Unaotuomba ushauri sisi wenyewe tunashinda kwenye Uzi wa kugombania vocha za buku buku.
Acha kabisa Ndugu, Kuna mda naona kama nilizaliwa kusindikiza wengine.Mbinu ni kuukabili tu mkuu , hakuna kitu kina shindikana ukikaza kwa akili .
Kama ni Mungu nimemwomba sana lakini wapi? Sometimes mpaka nawaza bora nisingezaliwa. Maana kama huna hela huna msaada.Keep hustling, but with God's help!