Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

wewe ni SANFUINE MELANCHOLIC .
una baadhi ya sifa za hao watu wawili wote
 
Njoo tulime huku mdogo wangu ikifika kipindi mpunga umeweka
maziwa nikuachie ulinde ndege mwezi mzima
kama bado utakuwa hujajijua we ni nani basi nitakuwa sina lawama juu ya dhambi zako.
 
Tabia ulizonazo ni za watu wenye temperament ya melancholic kati ya tabia zile 4; melancholic, sanguine, phlegmatic na choleric. Pia wewe ni introvert katika zile personality mbili introvert vs extrovert.
 
Tabia ulizonazo ni za watu wenye temperament ya melancholic kati ya tabia zile 4; melancholic, sanguine, phlegmatic na choleric. Pia wewe ni introvert katika zile personality mbili introvert vs extrovert.
Upo umemsaidia yeye ni nani!
 
Nadhani ungewaona wataalamu wa Psychology wakusaidie!
 
Sawa.Ila DP World wanatuletea taharuki.Tujadili hili lako baadaye.Au unaonaje muhishimiwa?
 


Ndugu,
Pole sana watu wa aina HII wapo wengi tena wa umri huu.

Kuna kitu kinaitwa adverse childhood experiences, ni hali alizopitia mtu utotoni na zina_ affect afya ya akili kwa njia ya moja kwa moja au kinyume chake na HII hu affect uwezo kufanya maamuzi, tabia au matendo yetu haswa kwenye adult stage.

Kuna mifano mingi ya (ACE) kama unyanyasaji wa kijinsia sexual abuse, emotional abuse( kama vile kupingwa kila kitu) au physical abuse kama adhabu kali n.k

Na kuna viashiria vingi vya ACEs.
Na kuna kitu kinaitwa TOCIX SHAME kama upo tayari kujifunza tutajifunza zaidi.

Unaweza pata ushauri wa kutoka kwa wanasaikolojia hilo ni tatizo na unaweza kuwa resilient na ukawa kawaida sababu muda mwingine itakuwa ngumu kuwa na TEAM WORK.
 
Kuna jilani yangu alikuwa hivo hivo Leo hii Ni Chizi, mwendawazimu a.k.a Mwehu muda huu anatembea uchi na kuokota makopo hiyo Simu yako wakabidhi tu wazazi wako maana soon haitakuwa na maana yoyote kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…