Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

Elimu nzuri mkuu.🙏🙏
 
Mtaalam ajitokeze amjibu huyu dogo kitaalam, acheni kumkebehi.
 
Kwanza Umekula?
Sa ingine hayo yote unatwambia hapo ni njaa inauma.
Kale kwanza uje tukushauri
Unawaza kwenda US utakuta hata passport huna.
Embu kale kwanza
 
Wewe ni mtoto bado subri ukue utajua we ni nani bwana mdogo.Najua unataka upewe jibu kwamba ni introvert lakini sio kweli
Hivi kwanini mtu akijiita introvert au akisema ana characters ambazo ni za introverts watu wengi wanamind, hii kitu nimeona sana humu jf, kwani introverts wana nini hadi mtu akijiita introvert watu wengi wanampinga
 
Mi sipingi mtu kuwa introvert and trust me(hakuna introvert atakuja kusema humu kwamba ni introvert au ataomba ushauri kujua yeye ni nani).

Huyu anaweza kuwa au asiwe, bado kijana mdogo sana huyu na tabia za vijana wa siku hizi wana-develop tu character zao ambazo ni tofauti na- innate.

Remember:introverts are born and not made in the process of interacting with environment.(Someone shall not be influenced by environment to be introvert but shall be born with introvert like traits and that is what we appreciate)
 
Vizuri! Naomba elimu kidogo kidogo juu ya innate. Ntashukuru sana!
 
Vizuri! Naomba elimu kidogo kidogo juu ya innate. Ntashukuru sana!
Innate means inborn(ya kuzaliwa nayo).

Innate traits include habit,characteristics and other stuff an individual born with.They are not learnt or influenced by environment.

Kwa kifupi ndio hivyo labda kama kuna swali tena.
 
🙏Shukurani sana.
 
Kwa ulivyoeleza mwenyewe nakuona una melancholic temperament Kwa asilimia kubwa ambapo ndani ya hiyo temperament ndiyo Kuna introverts tena itakuwa social introverts Kwa kiasi kikubwa.

Siku moja kaa chini ujitafakari sawasawa kuhusu vipaumbele vyako ktk maisha, kama unaona kufanya unachokipenda ndiyo utafika mbali just do it.

Katika suala la kujitambua wewe ni nani, Kuna external forces nyingi ambazo zitakulazimisha ujiweke katika kundi Fulani, usiruhusu hichi kitu.

NB. Watu tz wamevurugwa hivyo usikwazike na majibu yasiyo ya kiistarabu.
 
Sasa umejieleza yote hayo halafu bado unasema hujielewi tena mkuu??

Labda ungekua umeweka vitu vinavyokinzana, lakina vitu ulivyoweka vyote vinaeleweka. Iweje tena usema hujielewi mkuu?
 
Mekupata mkuu
 
Sawa mkuu, ila mimi niliuliza hivi sababu sijawahi kuona mtu akijiita extrovert halafu watu wakampinga au kumponda, ila mtu akijiita introvert tu kosa
 
True
 
Sawa mkuu, ila mimi niliuliza hivi sababu sijawahi kuona mtu akijiita extrovert halafu watu wakampinga au kumponda, ila mtu akijiita introvert tu kosa
Kwamba watu wanapenda wajulikane kuwa ni EXTROVERT au INTROVERT? Na kwa nini?
 
Sawa mkuu, ila mimi niliuliza hivi sababu sijawahi kuona mtu akijiita extrovert halafu watu wakampinga au kumponda, ila mtu akijiita introvert tu kosa
Sijui sababu kubwa kwanini inakuwa hivyo sema nafikiri sababu zinaweza kuwa kama hizi:

Introverts wengi wanadhaniwa kuwa na uwezo mkubwa(japo sio wote na sina ushahidi wowote ).Hivyo basi kama hii ni kweli basi watu wengi ukishasema wewe ni introvert wanaweza fikiri unataka kujikweza au mambo ya husda(maana mwadamu siku zote struggle zake zimekuwa- recognition,dominance,and being respected(celebrated,appreciated ..just to make list short).

Sababu nyingine ni kuwa kundi la introverts wengi wao ni ngumu jamii kuwaelewa na hulka ya mwanadamu nikupenda kumchimba mtu(kumjua kwa undani)kitu ambacho ni kigumu ku-achieve kwa kundi la watu wa namna hii.Ndio maana unakuta wanapewa label kama machizi,jeuri,n.k lakini sio kweli
 
Dogo bado unaishi kwenye fantasy za dunia, toka nje hapo pambana utajua wewe ni nani
 
Kumbe! Nashukuru, Ila watu wasione ni ajabu mtu kuwa wa kundi fulani. Kila upande una strengths na weaknesses zake.

Kuwa introvert ni jambo jema, na kuwa extrovert ni vyema pia. Kila kundi linamuhitaji mwenzake. Kwa hiyo, kila mtu ajikubali kulingana na kundi lake. Hana hasara, bali faida hasa endapo atajifunza kutumia kwa ufasaha strengths za personality traits alizo nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…