Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

Kabisa mkuu.

Tazama hata majibu wanayo yatoa hapa.

Wabongo wanataka nyuzi za kula kimasihara.
 
..."WEWEEE NI WAKAWAIDAAA SANAAA!."

In Pastor Mgogo voice
 
For sure! sema introverts ni kama special case make the moment mtu ataweka wazi kuwa ana traits za hivyo reaction yake ni tofauti na mtu akisema ana-features za extrovert.Sababu ni kwamba kuna wengine hujipachika hizi tabia kutokana na uzoefu waliopitia kimazingira na sio kwamba wamezaliwa hivyo ndio maana negativity kwenye response ikiwa mada ya hivyo ni kiasi cha juu
 
Ila wakati mwingine bwana! Sasa kuna shida gani mtu akijipachika sifa nzuri hata kama hana, hasa ikizingatiwa kuwa anatumia "anonymous" id? Kama anaamini kuwa akijiita introvert kutamnufaisha kwa namna moja au nyingine, aachwe ajiite hivyo. Tena ikibidi, asijiite tu introvert, bali introvert plus!
 
Kwangu sioni shida sema ukijipachika hizo tabia huku mtandaoni alafu ukaziendeleza mtaani inakuwa sio poa man.Introverts ambao ni real wanapitia kipindi kigumu kwa sababu ya watu wa design hii(kujipa sifa wasizokuwa nazo).Mtaa unawapokea tofauti wakijua ni waigizaji kumbe sio kweli.
 
mkuu mbona kama tunafanana ila mim kuna muda nafurahia kampani yangu mwenyew na kuna muda najichanganya na watu.So wewe ni introvert yaan upo wewe kama wewe huhitaji sapoti yeyote kutoka kwa marafiki.
 
Au sio
 
wewe mwenyewe umeishia kulalama tu nakupiga blah blah hakuna lolote la maana ulilomsaidia
 
Asante hicho ulichoandika hasa kwenye aya ya kwanza ndicho nilichotaka kuandika nilipoquote ile comment yako ya kwanza kabisa, sema nikaona acha nisikushutumu nikuulize kwanza sababu kwanini ulimponda jamaa kujiita introvert, bahati nzuri kumbe sikukosea umekuja mule mule

Hata mimi kuna kasumba nimeiona ya watu wengi kuwachukia na kuwaponda introverts, kisa tu inasemekana wengi wao wana akili sana na uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo, kwahiyo ikitokea mtu anasema ana characters za introverts watu wanaanza kumpinga na kusema yeye siyo

Kisa tu vichwani mwao wanahisi kama huyo mtu kwa lugha nyingine anajaribu kusema kuwa yeye ana akili sana, maana kama introverts wasingekuwa na maajabu yoyote basi watu wasingekuwa wanawachukia, so nikahisi nawe ni wale wale wanaochukia introverts kwa sababu hizo hizo
 
Sasa ikiwa wewe mwenyewe hujijui ni mtu wa aina gani unadhani nani atakaekujua?

Ukitaka hasa kujua wewe ni mtu wa aina gani, angalia matendo yako pale unapokuwa peke yako ama kutoonekana na wengine, huo ndio uhalisia wa utu wako.
SASAASA MKUU ATAJUAJE IAKIWA PEKEYAKE NDO KAINGIA HUMU
 
Mi sina chuki na introvert maana ni jambo la creation sio utashi wa mtu.So,God knows why he created them so.It was all about jokes(nothing serious here bro).Sema tu chuki yangu ni kwa introvert wa mchongo tu
 
SASAASA MKUU ATAJUAJE IAKIWA PEKEYAKE NDO KAINGIA HUMU
nyeto unapiga ukiwa mwenyewe hivyo kama mtu ana tabia hiyo inamaanisha huwa ndio uhalisia wake.

Kwa mganga unaenda peke yako, hii inamaanisha ni mshirikina n.k
 
Sasa ikiwa wewe mwenyewe hujijui ni mtu wa aina gani unadhani nani atakaekujua?

Ukitaka hasa kujua wewe ni mtu wa aina gani, angalia matendo yako pale unapokuwa peke yako ama kutoonekana na wengine, huo ndio uhalisia wa utu wako.
Nafikiri Yuko sahihi kuuliza mkuu kwani nivigumu kujijua Tabia yako Ila watu wanaweza kuijua Tabia yako

Yani nihivi mkuu wewe unanijua Mimi vizuri kuliko ninavyo jijua Mimi
Na Mimi naweza kujijua wewe vizuri kuliko vile wewe unavyo jijua
 
Nimtu mwenye kujitolea na asiye hitaji shukrani

Nikiongozi usiye penda kuonekana unaongoza

Nimtu unaye ishi kwenye ndoto Sana kuriko Maisha harisi lakini Maisha huanzia kwenye ndoto kwahiyo si vibaya kuishi ndotoni

Nimtu mwenye kuku bariana na matokeo/Hari harisi kwani..
una Amini kukataliwa nijibu na kuku baliwa no jibu

kwakifupi wewe ni mtu mwema na nimiongoni mwa binadam wachache wanao patikana kwenye hii dunia

ungekuwa raisi ungekufa Kama alivyo kufa nyelele /bila kitu lakini heshima moaka kesho
 
Mi sina chuki na introvert maana ni jambo la creation sio utashi wa mtu.So,God knows why he created them so.It was all about jokes(nothing serious here bro).Sema tu chuki yangu ni kwa introvert wa mchongo tu
Sasa huku si ni mtandaoni mkuu mnajuaje kuwa huyu ni introvert halisi na huyu ni wa mchongo, na kama nilivyosema humu sijawahi kuona mtu kaanzisha uzi wa kujiita introvert halafu ukose comments za watu kumpinga na kumponda, sasa najiuliza introverts wote wanaokuja kujisema humu ni wa mchongo au tatizo siyo uintrovert wake bali ni kule kujisema tu mitandaoni
 
Trust me wengi waliochangia kwenye hii mada in a negative way( not all but a resonable number ilikuwa ni jokes)
 
Intro hanaga time na watu huezi mkuta intro anazungumza ovyo ata awe na watu aliowazoea labda awe kalewa sana ,inrov wanajuwa mambo makubwa ila wanayachukulia simple
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…