Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

Acha hofu amini Yesu kristu atakulinda na utakuwa sawa tu. Mwenyewe nimeota ndoto ya ajabu sielewi tafsiri yake ila nimemuachia Mungu afanye sehemu yake baada ya kuibatilisha ikiwa imetokana na ulimwengu wa giza.
 
Bichwa komwee nikajua umelala fofofo... kumbe umo bhana[emoji23] aisee hii ngoma ni mpaka saa 12 hii.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂🙌🙌🙌 niko macho nimeamshwa na shemeji yako nimpe kimoja cha usiku kabla ya mapambazuko. 😂😂🙌

Siunajua tena CHA USIKU unashangaa tu IMOOOOOO lazima uamkee 😁
 
Acha hofu amini Yesu kristu atakulinda na utakuwa sawa tu. Mwenyewe nimeota ndoto ya ajabu sielewi tafsiri yake ila nimemuachia Mungu afanye sehemu yake baada ya kuibatilisha ikiwa imetokana na ulimwengu wa giza.
DAMU YA YESU itulinde mtumishi.

Nakufunika kwa DAMU YA YESU, nanyunyiza MATONE YA DAMU juu ya bichwa langu pamoja na bichwa la kaka yangu mimiamadiwenani
 
Upo sahihi!
 
Pole nimeshaingia kazini HUTAKUFA bali UTAISHI na kuwaona wana wa wana wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ndoto inahusu kuhisi kufa ama inahusu nini?

maana ndoto ina vitu muhimu maandalizi ya kitakachokutokea mbeleni au kilichotokea tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…