Thank you ππDear pole sana. Ila ujue tu hakuna kitu kibaya kama hofu. Najua ni ngumu kuondoa hofu hasa ikitokea kwenye mazingira ya ndoto mbaya usiku kwani hata mimi yameshanifika, ila nikuhakikishie ni ndoto tu. With time, you will be fine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ww mm sio kama hawa vijana wa hovyo humu ndan majobless kutwa kucha kushinda humu..we kaambie kaje dm au mpe namba yangu anitafute. Mm sio muumin wa kushinda humu masaa yote..kazi ni nyng sana