Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
- Thread starter
- #141
Thank you 🙏😘Dear pole sana. Ila ujue tu hakuna kitu kibaya kama hofu. Najua ni ngumu kuondoa hofu hasa ikitokea kwenye mazingira ya ndoto mbaya usiku kwani hata mimi yameshanifika, ila nikuhakikishie ni ndoto tu. With time, you will be fine.