G
Happiest birthday 🎈🎂Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29
Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima.
Sasa najiona nimekua mkubwa.
Nilitamani kuingia miaka hii nikiwa mama, lakini Mungu hakunipa hii Neema
Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
Mbona mnapenda kumsinginzia Sr God,haya njoo DM hipo wazNilitamani kuingia miaka hii nikiwa mama, lakini Mungu hakunipa hii Neema
Punguza maneno mkuu, sema tuu unataka kuokota chochote kitu.Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29
Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima.
Sasa najiona nimekua mkubwa.
Nilitamani kuingia miaka hii nikiwa mama, lakini Mungu hakunipa hii Neema
Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
Nitakie kheri ya kuzaliwaPunguza maneno mkuu, sema tuu unataka kuokota chochote kitu.
Nitapambana kubadili styleKila la heri mdogo wangu jitahidi kufikia 30s uwe mama sio dada
NimeumiaOlewa kwanza ushaanza kuzeeka
Thanks mamieLong life dear
Ahsante sanaKheri ya kuzaliwa mkuu.
Bila chochote kitu mkuu?Nitakie kheri ya kuzaliwa
Karibu basi hapa Blockhouse tupale mbili moja tatuAhsante sana
Huyu siyo bibi kizeee, ni mrembooo kitoto cha 2000Birthday mate wako uyu bibi Kizee, ana Miaka 45 today ila ova 22. View attachment 3663585
Na MpesaaBila chochote kitu mkuu?