Ubungo Mataa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2018
- 547
- 993
Sawa mkuuNa Mpesaa
Sawa mkuuNa Mpesaa
Ahsante sanaHappy 29th birthday Olivia.
Aminakwa kweli sisi zetu ni dua tu
AHSANTEHongera kwa kutimiza miaka 29, usije ukathubutu kuwa mama kwa kufuata mkombo
AhsanteHappy birthday mwanamke mwenye mithali yake. ishi usisahau kuishi
Tutaoa tukifka 35 huko tulia babuMe pia nimeingi 28 saivi ila hakuna kitu kinanipa stress kama kuingia 30s nikiwa apeche na sina mke wala mtoto wa nje duh
Anyway
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa ndugu muandishi
Happy birthday OliviaMungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29
Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima.
Sasa najiona nimekua mkubwa.
Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
Haha mama saivi hataki hata salamu yangu anataka niwe na familia mkuu nachoka🤣🤣Tutaoa tukifka 35 huko tulia babu