Bmw m5 Member Joined Oct 20, 2024 Posts 73 Reaction score 95 Jan 13, 2025 Thread starter #61 Immortal Techniques said: Acha ujinga ,sasa kama ushapima huna HIV una stress za nini?acha utoto Click to expand... MFALME WETU said: kama ni wa kuukwaa hata upime kwa darubini huchomoki, just play safe sio unakamia kama ndo unataka kufa Click to expand... nashukuru sana π
Immortal Techniques said: Acha ujinga ,sasa kama ushapima huna HIV una stress za nini?acha utoto Click to expand... MFALME WETU said: kama ni wa kuukwaa hata upime kwa darubini huchomoki, just play safe sio unakamia kama ndo unataka kufa Click to expand... nashukuru sana π
Think2 Member Joined Jan 3, 2025 Posts 29 Reaction score 47 Jan 13, 2025 #62 Si useme tu alikuwa dadapoa mkuu [emoji1][emoji1]
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Jan 13, 2025 #63 Bmw m5 said: sawa chief.. nashukuru Click to expand...
Chief Wingia JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 2,653 Reaction score 4,744 Jan 13, 2025 #64 Sasa kama mlipima na mkajikuta mko poa nini unawaza halafu acha kuvaa ndomu kimapepe. Hakikisha hauachi kiputo cha upepo kwenye kichwa.
Sasa kama mlipima na mkajikuta mko poa nini unawaza halafu acha kuvaa ndomu kimapepe. Hakikisha hauachi kiputo cha upepo kwenye kichwa.
Bmw m5 Member Joined Oct 20, 2024 Posts 73 Reaction score 95 Jan 13, 2025 Thread starter #65 Chief Wingia said: Sasa kama mlipima na mkajikuta mko poa nini unawaza halafu acha kuvaa ndomu kimapepe. Hakikisha hauachi kiputo cha upepo kwenye kichwa. Click to expand... sawa chief
Chief Wingia said: Sasa kama mlipima na mkajikuta mko poa nini unawaza halafu acha kuvaa ndomu kimapepe. Hakikisha hauachi kiputo cha upepo kwenye kichwa. Click to expand... sawa chief
B Bosi kitambi Meneja Member Joined Jan 13, 2025 Posts 21 Reaction score 39 Jan 13, 2025 #66 Mkuu punguza tu mawazo yanayozidi kukupukutisha,kwanza ndomu ni overrated sijui Kama serikali inajua vijana wake wanatumia ndomu tu goli la kwanza
Mkuu punguza tu mawazo yanayozidi kukupukutisha,kwanza ndomu ni overrated sijui Kama serikali inajua vijana wake wanatumia ndomu tu goli la kwanza
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jan 13, 2025 #67 Kinachowaua watu wengi ni mawazo, we chanja mbuga usifikirie nyuma, huwezi kubadilisha matokeo, kama ni 0 ni 0, na kama ni 1 ni 1.
Kinachowaua watu wengi ni mawazo, we chanja mbuga usifikirie nyuma, huwezi kubadilisha matokeo, kama ni 0 ni 0, na kama ni 1 ni 1.
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Jan 13, 2025 #68 Bmw m5 said: sawa chief.. nashukuru Click to expand... Jitahidi bwa mdogo kuleta mada zenye akili,mabinti wanawake na mama zao hatupo huko tena. Soma hiyo thred mara 2 ujue ulikosea wapi. Jitahidi sana utafute pesa.
Bmw m5 said: sawa chief.. nashukuru Click to expand... Jitahidi bwa mdogo kuleta mada zenye akili,mabinti wanawake na mama zao hatupo huko tena. Soma hiyo thred mara 2 ujue ulikosea wapi. Jitahidi sana utafute pesa.