Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

De_lizord.png
 
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.

Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
Shukuru umeng'atwa shingoni.. (in steve mweusi voice

waliosoma Cuba wamenielewa
 
Vua mkanda funga kwenye huo mti weka kitanzi ingiza shingo uning'inie ili sumu isisambae
 
Ila kuna mijusi yenye sumu, ungekauwa uende nako hosipitali ili wajue kama kana sumu.
 
GECKO! ... au, kwa kisukuma, SHIGONI!
View attachment 2979067 wana sumu, japo sijui madhara kamili, wahi kwa wataalam!
duuuh huwa naviona ndani navichukulia poa, nawaacha kama wapambanaji wenzangu🤣🤣🤣 kumbe vinasumu?, ntavifurahisa.
halafu kunamtu aliwahi niambia kuwa vinahusika na imani za kishirikina siyo vizuri vikae ndani
 
Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.

Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
Mjusi ana sumu nenda kitua cha afya
 
Kamjusi tu unapiga mayowe kiasi hikiii!!! Wavulana wa dar mkoje!

Sisi enzi zetu tulikuwa tunang'atwa na vifaru lakini tunakaza kweRi kweRi.

Sasa hako kamjusi hakajai hata sahani, hakana cha sumu wala nini!

Ungebomolewa visigino na kifaru ingekuwaje!?

Poor Brain cocastic
 
Back
Top Bottom