kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nasikia leo mjusi kamla mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukuru umeng'atwa shingoni.. (in steve mweusi voiceDakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.
Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor![]()
no rules here pappi 😀😆,Umeedit angalia nliyoquote
duuuh huwa naviona ndani navichukulia poa, nawaacha kama wapambanaji wenzangu🤣🤣🤣 kumbe vinasumu?, ntavifurahisa.GECKO! ... au, kwa kisukuma, SHIGONI!
View attachment 2979067 wana sumu, japo sijui madhara kamili, wahi kwa wataalam!
Dah we jamaa wewe utaua hujui kuna watu watachukulia seriousNjooo hapa Muhimbili umeze P2 ili cells za sumu ya huyo mjusi zisiendeleee kuzaliana
uto tu dudu manyangau wanatengenezea Sumu mkia uwo ukikausha juani afu usage upate unga wake ukimuwekea Kiumbe anaitwa binadamu lazima apoze upande ya apa yaishe apa mdomo komaGECKO! ... au, kwa kisukuma, SHIGONI!
View attachment 2979067 wana sumu, japo sijui madhara kamili, wahi kwa wataalam!
Akiona tu P2 atajua sio kwelDah we jamaa wewe utaua hujui kuna watu watachukulia serious
Mjusi ana sumu nenda kitua cha afyaDakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba.
Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor![]()
aende hospitali kuna mijusi ina sumuHakuna shida
www.itv.co.tz