Organic Live Food
Senior Member
- Aug 2, 2013
- 127
- 236
- Thread starter
-
- #101
Nimekusoma mtaalam. Kwenye swala lakucheza yupo active nimtundu sn hadi keroHakikisha unapika chakula anachokipenda. Mimi kwangu watoto ndo wanapanga menu. Muulize unataka kula nini.. Then pika chakula anachokitaka.
Asipokula au akila kidogo usimlazimishe muache hadi njaa imkung'ute kisawa sawa ataomba mwenyewe chakula.
Unajua hii mambo ya kula asububi mchana na jioni ni mazoea tu. Ila mtu anatakiwa ale pale anaposikia njaa.
Swala lingine, Je mtoto yuko active? Anacheza michezo ya kutumia nguvu.
Hakikisha mtoto anacheza michezo ya kutumia nguvu, lazima atasikia njaa tu. Lakini kama anakaa ndani siku nzima ni changamoto.
Summary
Usimlazimishe, akisikia njaa ataomba chakula mwenyewe
Nikweli ila chakula kikuu ni chips ukimtajia anapenda ale ninj anakutajia chips. Sasa chips kila siku😁Akipata chakula apendacho atakula bila shuruti.. Unajua huwa tunawapangia vyakula kwa ladha na mitazamo yetu
Siyo watoto tu, hata mke kama haelewi tandika makofi siku mojamoja acha kuwa na familia legelege.Hivi watanzania mna nini na ukatili? Kila mtu ni katili na hudhani viboko ndiyo njia ya kutatua matatizo ya watoto!
Hapo kwenye kupika wewe ndio panamfanya asile vizuri 😂 😂Asante sana. Ntampa hizi salam mpishi mama yake ingawa nampikia siku mojamoja km baba yake
Asante sana mdauPole aisee, nakuelewa sana jinsi unaumia kwa unachopitia. Yani hakuna mtoto anaumiza kichwa kama hasiyependa kula, ukute kajaza chakula tu mdomoni.
Nilipata hiyo shida kwa mwanangu, ikanilazimu niwe napika chakula kingi ili nichukue na rafiki zake wale pamoja. Vile alivyokuwa akiona wenzake wanakula nae anakula, ikamjenga baada ya muda mfupi akawa OK.
Mwanao haumwi, ni changamoto za kawaida, tafuta mbinu taratibu mpaka utaipata,
😁😁Hapana kaka hii ni hobby yangu tu najihusisha na kilimo kisichotumia kemikali ila kwenye upande wakula nawaachia familia wale wanachokitaka. Mim wakati meingi nakula vitu vyakuchemsha ila siwakataz wapike vyakula vyao vya mafuta. Inshot wako na uhuru wakula chochoteOrganic Live Food tukijaji kitabu kwa kuangalia kava lake... kama hii ID inasadifu yaliyomo basi shida unaweza ikawa inaanzia hapa.
Sawa sawa mdau hyo namba 3 najitahidi sn kuwe na vyakula tofauti homeKutokula kunaweza kusababishwa na mambo kama vile
1: uchache wa watoto. Mtoto ambae hali mpeleke changanyikeni akakutane na rika wenzake wakagombee chakula.
2: Nature. Kuna watu kwa asili yao sio walaji sana wanakulatu kidogo wanaachwa
3: Vyakula vya aina Moja mfululizo
4: Hali ya hewa ambayo sio rafiki kwa mtoto
5: Mtoto kutopewa maji mengi
6: Mtoto kunyonyeshwa marakwamara hivyo kua muda mwingi ameshiba
Sawa mdau nashukuruAna tatizo la minyoo au low appetite....kamuone daktari
Hii ntaitengea siku maalum. Kila wiki itakuwa na siku yakula na watoto wa jiraniJaribu njia hii itakusaidia, tafuta watoto wenzie wenye rika kama lake wawe watano au wanne then waekee chakula kwenye sahani moja kisha waache we kakae sehemu umwangalie mwanao atakavyokula
Naachana nazo kwakweliAchana na fimbo kama anakula kidogo poa tu mradi asife na njaa.
Asante sn. Kuna mawazo mengi nmepewa ambayo nilikuwa siyajui. Napaswa niyafanyie kazi. Ni Jambo la mchakato. Nikiona sipati mafanikio ntakufuata inbox kiongozi.Kama Bado hujapata dawa njoo inbox