Naombeni msaada wenu

Naombeni msaada wenu

Yukoje vipi mwenzio kakuelewa hawezi kuishi bila wewe 😹😹

Mkubalie basi naye mpweke km wewe..!!
Si eti broda Wagumu Tunadumu 😜
Akija kanda ya ziwa kutembelea makaburi atanikuta

Nimtolee upekwe na nimfundishe aache kuandika kiswahili cha kisukuma cha kufa badala ya kufariki

Pia ntamshawishi aishi huku kabisa,mtoto wake apate mdogo wake pia
 
Ni muda sasa akufikirie, umejitahidi kusoma ile hadithi ilivyo ndefu vile lakini umepambana mpk mwisho 😹😹😹
awweeh akupe tu hata uguse 🤣
 
thamani yangu hipi labda? hiko wapi mdogo wangu tumbo moja baba mmoja na mama mmoja yupo hapa Dar lkn nina miaka saba sasa tangu nimuone, nikimpigia huwa hapokei msg hajibu. nimejifungua mwanangu ana miaka 2.5 sasa lkn hajawahi hata kuja kumuona. kama ndugu yako mwenyewe hakuoni wa thamani nani ataiona thamani yako. mama alikuja Tz kumzka mama yake alipitia Dar lkn hakunipigia hata simu. angalau kumwona mjukuu wake. nisipo mgia mimi hata siku moja hawezi hata kukosea namba akanipigia nina miaka 8 sasa tangu niione sura ya mama yangu. babu na bibi waliokuwa wananipa thamani Mungu akawachukua kudhihirisha kuwa mimi si chochote. kinachoniuma ni hiki kiumbe kisicho na hatia. thamani hipi unaongelea labda.
Ukihamia Msumi naomba nicheki tujenge undugu tafadhali maana undugu sio lazima wa tumbo moja, Kuhusu kufiwa hio hali ni ya kawaida kabisa hata mimi nimepitia cha kufanya chukua pen na karatasi kila siku asubuhi andika kila unachokiwaza page tatu ukimaliza choma moto au chana flash chooni, fanya meditation na kingine tafuta kitu kitakacho ku keep busy sana ufanye nje ya kazi ya kawaida.
 
Usijikatie tamaa ungali bado hai,kama ndugu sio sehemu ya maisha yako basi mtu wako aweza kuwa zaidi ya ndugu.
 
samahani naombeni msaada wenu nipo njia panda.
Jaribu kumshukuru Mungu hata kwa kidogo alichokupa coz kuna wengine hawana chochote kabisa.

1: Amekupa uhai na afya njema(nenda hospitali)

2:Amekupa kazi.(tatizo kubwa duniani ni ajira)

3:Amekupa mtoto.(kuna tasa)

Nb:Kwenye maisha jifunze kuachia na kushukuru, kama unaweza kubadilisha sawa kama huwezi usilazimishe kwani kuna vitu huwezi kuvibadilisha.Mwisho wa siku wote tutakufa na utagundua maisha ni ubatili mtupu.

Huyu mzee alinifungua sana akili.

View attachment 3229115
asante kipenzi. asante
 
Ukihamia Msumi naomba nicheki tujenge undugu tafadhali maana undugu sio lazima wa tumbo moja, Kuhusu kufiwa hio hali ni ya kawaida kabisa hata mimi nimepitia cha kufanya chukua pen na karatasi kila siku asubuhi andika kila unachokiwaza page tatu ukimaliza choma moto au chana flash chooni, fanya meditation na kingine tafuta kitu kitakacho ku keep busy sana ufanye nje ya kazi ya kawaida.
sawa nitafanya hivo
 
Back
Top Bottom