Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n.k
 
Ndugu zanguni , naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake . Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa , tigo pesa n.k
Weka zote kwa pamoja,,,utakuja n shukuru baadae.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
NMB ina wateja wengi sana na faida yake pia ni nzuri kwa uzoefu ukifanya miamala 40 ya wastani 10,000 mpaka 300,000 unaweza pata faida mpaka 700k hiyo ni kwa mtu anaetumia NMB via selcom ila ukitumia NMB Pos unaweza kupata zaidi

N.B hiyo miamala ikiwa ya pesa nyingi unaweza kupata faida zaidi ila ni kazi sana kupata pos ya NMB kwani wamestisha kuzitoa
 
Mkuu mbona mwongo Yani ukipata miamala kati ya 10,000 Hadi 300,000/=
Upate faida ya 700,000/= kweli....???
 
Ninafanya hiyo biashara kwa mda mrefu zaidi ili upate faida itabidi ufanye miamala mingi ya kutoa ukitoa 10k untapata faida ya 380k ukitoa 100k utapata 720 ukitoa laki 2 unatapa kama 1000 plus akiangalia salio utapata 180 kamisheni

N.B japo haitabiliki inategemeana na nature ya miamala
 
Hii ni kiwango cha kamisheni unayolipwa kwa miamala utakayoifanya.

Ili upate faida nzuri, inakubidi uwe na wateja wengi. Faida nzuri zaidi ni kwa wateja wa kutoa. Ila walio wengi ni wateja wa kuweka. Hivyo, uwe na float ya kutosha.

Screenshot_20220317_143149.jpg

Commission hiyo itahusisha 10% utakayokatwa mwisho wa mwezi kwenye Commission yako ya Jumla.
 
Ninafanya hiyo biashara kwa mda mrefu zaidi ili upate faida itabidi ufanye miamala mingi ya kutoa ukitoa 10k untapata faida ya 380k ukitoa 100k utapata 720 ukitoa laki 2 unatapa kama 1000 plus akiangalia salio utapata 180 kamisheni

N.B japo haitabiliki inategemeana na nature ya miamala
Hata hueleweki!!yaani ufanye miamala ya kutoa yenye thamani ya tsh.10, 000, faida upate 380000?!!
Hiyo ya laki 2, kupata 1000, sawa!!
 
Boss mimala inatofautiana nature na kiwango cha miamala ukihitaji ufafanuzi zaidi nicheki pm nikualike uje ofisini niko tayari kushare taarifa ili ujifunze ila kwa kukuambia ni kazi kuelewa ila mimi huwa naihesabu idadi ya miamala kwa siku ambayo huwa kwa wastani wa 40 hivi karibu sana ila kwa kifupi NMB ni bora zaidi na ina faida kubwa kwa wateja wake ni wengi na wengi wao hutoa miamala mingi chini ya 100k
 
NMB ina wateja wengi sana na faida yake pia ni nzuri kwa uzoefu ukifanya miamala 40 ya wastani 10,000 mpaka 300,000 unaweza pata faida mpaka 700k hiyo ni kwa mtu anaetumia NMB via selcom ila ukitumia NMB Pos unaweza kupata zaidi

N.B hiyo miamala ikiwa ya pesa nyingi unaweza kupata faida zaidi ila ni kazi sana kupata pos ya NMB kwani wamestisha kuzitoa
Hivi mpaka sasa hivi wanajiunga na nmb,,,,,vip kuhusu kujiunga na crdb.
 
Kwani wameisha toa taarifa juu ya usitishaji wa utoaji wa POS ZA NMB KWA UMMA?
Ndio walitangaza kupitia semina zao kwa mawakala na hata ukienda Branch watakwambia

Sasa hivi wanatumia simu smart phone wanakupa application ya NMB ila inafanya kazi mbili tu kuweka na kutoa tena kutoa ni kwa kutumia sim banking sio kadi na hakuna Receipt ina changamoto sana wateja wengi wanakataa

Zamani ulikuwa unaweza kutumia Selcom naona wamestisha na biashara ya NMB ipo sana ina wateja sana kama unaweza pata pos hata ya mtu inalipa sana
 
Hivi mpaka sasa hivi wanajiunga na nmb,,,,,vip kuhusu kujiunga na crdb.
CRDB bado wanatoa POS machine kinachotakiwa ni leseni na TIN na uwe unapata kamisheni zaidi ya 100k kwa miezi kama 3 mfululizo kwa leseni za uwakala

Kama haufanyi biashara ya uwakala uwe una cash flow ya 8 millions kwa miezi 3 wanaangalia Bank statement CRDB wapo vizuri kama upo eneo zuri wanalipa vizuri sana
 
Hii ni kiwango cha kamisheni unayolipwa kwa miamala utakayoifanya.

Ili upate faida nzuri, inakubidi uwe na wateja wengi. Faida nzuri zaidi ni kwa wateja wa kutoa. Ila walio wengi ni wateja wa kuweka. Hivyo, uwe na float ya kutosha.

View attachment 2154032
Commission hiyo itahusisha 10% utakayokatwa mwisho wa mwezi kwenye Commission yako ya Jumla.
Hapa umemaliza mjadala
 
Ndio walitangaza kupitia semina zao kwa mawakala na hata ukienda Branch watakwambia

Sasa hivi wanatumia simu smart phone wanakupa application ya NMB ila inafanya kazi mbili tu kuweka na kutoa tena kutoa ni kwa kutumia sim banking sio kadi na hakuna Receipt ina changamoto sana wateja wengi wanakataa

Zamani ulikuwa unaweza kutumia Selcom naona wamestisha na biashara ya NMB ipo sana ina wateja sana kama unaweza pata pos hata ya mtu inalipa sana
Nasikia machine zao n 500,000/=

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hii ni kiwango cha kamisheni unayolipwa kwa miamala utakayoifanya.

Ili upate faida nzuri, inakubidi uwe na wateja wengi. Faida nzuri zaidi ni kwa wateja wa kutoa. Ila walio wengi ni wateja wa kuweka. Hivyo, uwe na float ya kutosha.

View attachment 2154032
Commission hiyo itahusisha 10% utakayokatwa mwisho wa mwezi kwenye Commission yako ya Jumla.
Hizi kamshen sawa na kamsheni za tigo,eatel na voda ??
 
Back
Top Bottom