Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

NMB ina wateja wengi sana na faida yake pia ni nzuri kwa uzoefu ukifanya miamala 40 ya wastani 10,000 mpaka 300,000 unaweza pata faida mpaka 700k hiyo ni kwa mtu anaetumia NMB via selcom ila ukitumia NMB Pos unaweza kupata zaidi

N.B hiyo miamala ikiwa ya pesa nyingi unaweza kupata faida zaidi ila ni kazi sana kupata pos ya NMB kwani wamestisha kuzitoa
Umenitia moyo sana mzee wangu.
Ila sijakuelewa vitu viwili hapo kati ya NMB selcom na NMB pos naomba tofauti zake mzee wangu
 
NMB Selcom ni uwakala kwa kutumia machine ya selcom ndani kunakuwa na application ya selcom hapa Kamisheni kuna asilimia anachukua selcom ila ni kidogo sana

NMB Pos ni utoaji wa huduma za uwakala kwa kutumia machine ambayo hutoewa na NMB direct
 
Asante Sana [emoji120]
 
Kiongozi msaada muongozo hapa
-kwa hiyo selcom wamebaki na bank gani kwa sasa

-Na ukiungwa selcom huduma automatic unaweza toa huduma za bank au mpaka utembele bank husika uunganishwe

-Na mashine ya selcom inakubali/inasoma card za bank kama sifanyavyo mashine za bank husika
 
Kwa sasa Selcom wamebaki na benki nyingine kasoro NMB ambao wamesitisha kwanza mfumo huo mwanzo kabla ya NMB kusitisha Selcom walikua na uwezo pia wa kukuunganisha na uwakala wa NMB ila benki nyingine ni mpaka utembelee matawi ya benki husika Ili waweze kukuunganisha na huduma za uwakala.
 
Pia mfumo wa simu waliohamia NMB Kwa sasa una changamoto nyingi Sana japo ndio wapo kwenye majaribio lakini unakosesha wateja wengi Sana.
 
Kiongozi msaada muongozo hapa
-kwa hiyo selcom wamebaki na bank gani kwa sasa

-Na ukiungwa selcom huduma automatic unaweza toa huduma za bank au mpaka utembele bank husika uunganishwe

-Na mashine ya selcom inakubali/inasoma card za bank kama sifanyavyo mashine za bank husika
Ndio wana benki kama 11 ispokuwa NMB tu
 
NMB, mfumo wa Simu ni kwa mawakala wenye wateja wachache.

NMB wanataka kwa mwezi uhudumie wateja zaidi ya 300. Maana yake wateja kama 10 kwa siku.

Sasa kama idadi yako haitimii, basi wanakunyang'anya POS then wanakuunganisha na simu.

Tatizo kubwa haswa la NMB Uwakala kwa mkononi ni risiti. Ijapokuwa wanasema SMS zinakubalika kama risiti lakini wateja wanahitaji sana elimu juu ya hilo.

Pia, taasisi nyingi haswa shule mbalimbali wanataka proof ya karatasi. Wala si SMS.

Utapeli wa SMS umejenga dhana potofu sana kwa wateja.
 
Kwa sasa Selcom wamebaki na benki nyingine kasoro NMB ambao wamesitisha kwanza mfumo huo mwanzo kabla ya NMB kusitisha Selcom walikua na uwezo pia wa kukuunganisha na uwakala wa NMB ila benki nyingine ni mpaka utembelee matawi ya benki husika Ili waweze kukuunganisha na huduma za uwakala.
SELCOM wana benki karibia zote. Utaondoa Equity, Exim na vibenki vingine vidogo vidogo.

Ukihitaji kuwezesha POS yako ya SELCOM kutumika itakubidi utembelee tawi la karibu yako. Isipokuwa kwa benki ya NBC na MCB.

Tatizo la SELCOM ni kuwa, faida inagawanywa katika mihimili mitatu. Benki husika, SELCOM wenyewe na wewe pia.

Lakini pia, kuna baadhi ya huduma hutozipata ukitumia SELCOM kuliko ambapo ungetumia POS ya benki husika.

Karibu Mkuu
 
😂😂😂Yule wa laki saba kwa miamala ya 10000 kakamatika vibaya
Wewe sio wakala namaanisha utoe huduma kwa wateja 40 kwa siku miamala 40 kwa siku ya kutoa na kuweka hiyo kamisheni unapata kwa mwezi sawa na wateja 1200 kwa mwezi unapata hiyo kamisheni watu wanapata pesa sana kupitia agency banking ni vile hujui tu
 
Bank zilizopo Selcom: Habari ndugu mteja, unaweza kuwa wakala wa benki kama NBC, NMB, ACB, ACCESSBANK, AMANA BANKI, LETSHEGO, MAENDELEO BANKI, MWALIM BANKI, UBA, NK. ila kwa upande wa NMB kwasasa kuna maboresho wanayafanya hivyo yakishakamilika tutawajulisha mlete maombi
 
Back
Top Bottom