Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

Ninafanya hiyo biashara kwa mda mrefu zaidi ili upate faida itabidi ufanye miamala mingi ya kutoa ukitoa 10k untapata faida ya 380k ukitoa 100k utapata 720 ukitoa laki 2 unatapa kama 1000 plus akiangalia salio utapata 180 kamisheni

N.B japo haitabiliki inategemeana na nature ya miamala
Matumizi ya K ndo hujaelewa yanamaanisha nini kwenye cash,ndo maana hawakuelewi taja tu fig kamili.
Kwa kusaidia mfano 100K,inamaanisha laki moja
 
Huu mfumo hautumii hata app huu mfumo unatumia simu kama tigopesa unaunganishwa Kwa njia ya simu Kwa kupitia line ya Airtel sasa mteja akija kutoa anatoa kwenye simu yake kwanza halafu anatumiwa namba ya Siri ya kutolea hela na inapaswa kutolewa ndani ya dk 5 ukichelewa baaada ya hapo unarudi kwenye Akaunti yake sasa changamoto hapo ni mtandao unaanza kukuambia upo chini na pia hata ukifanikiwa kuingiza hizo namba bado itakuambia muamala haupo, pia changamoto kubwa wengi wanataka kutoa Kwa kadi hapo ukiwauliza NMB wanakuambia inabidi uwe unawaelekeza waende kwenye ATM zilizopo karibu Kwa kweli hapa sijui NMB waliwaza Nini lakini wameharibu Sana.
Mkuu napataje machine ya selcom
 
Ninafanya hiyo biashara kwa mda mrefu zaidi ili upate faida itabidi ufanye miamala mingi ya kutoa ukitoa 10k untapata faida ya 380k ukitoa 100k utapata 720 ukitoa laki 2 unatapa kama 1000 plus akiangalia salio utapata 180 kamisheni

N.B japo haitabiliki inategemeana na nature ya miamala
Hebu Soma Tena ulichoandika hapa
 
Kiongozi msaada muongozo hapa
-kwa hiyo selcom wamebaki na bank gani kwa sasa

-Na ukiungwa selcom huduma automatic unaweza toa huduma za bank au mpaka utembele bank husika uunganishwe

-Na mashine ya selcom inakubali/inasoma card za bank kama sifanyavyo mashine za bank husika
Kinachofanyika ni kwamba
Unapopata Pos ya Selcom huwa unatembelea Benki husika unawapa taarifa zako kisha wanakuunga ambazo ni kama ifuatavyo;
1. Leseni na Tin
2. Na kama unafanya biashara ya uwakala uwe una uwezo wa kupata Kamisheni kuanzia laki 1 kwa muda wa miezi 3 mfululizo
3.Uwe fremu ya biashara sio kibanda
 
Ninafanya hiyo biashara kwa mda mrefu zaidi ili upate faida itabidi ufanye miamala mingi ya kutoa ukitoa 10k untapata faida ya 380k ukitoa 100k utapata 720 ukitoa laki 2 unatapa kama 1000 plus akiangalia salio utapata 180 kamisheni

N.B japo haitabiliki inategemeana na nature ya miamala
Hii ni mwaka gani mkuu, mie nimefanya hiyo biashara hakuna kitu kama hicho.
Hizo commissions uzoweka hapo ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom