JAPHA ED
JF-Expert Member
- Aug 17, 2016
- 793
- 1,223
Sasa hivi Selcom nao hawakuunganishi Tena na NMBSELCOM wana benki karibia zote. Utaondoa Equity, Exim na vibenki vingine vidogo vidogo.
Ukihitaji kuwezesha POS yako ya SELCOM kutumika itakubidi utembelee tawi la karibu yako. Isipokuwa kwa benki ya NBC na MCB.
Tatizo la SELCOM ni kuwa, faida inagawanywa katika mihimili mitatu. Benki husika, SELCOM wenyewe na wewe pia.
Lakini pia, kuna baadhi ya huduma hutozipata ukitumia SELCOM kuliko ambapo ungetumia POS ya benki husika.
Karibu Mkuu