Sasa hivi Selcom nao hawakuunganishi Tena na NMBSELCOM wana benki karibia zote. Utaondoa Equity, Exim na vibenki vingine vidogo vidogo.
Ukihitaji kuwezesha POS yako ya SELCOM kutumika itakubidi utembelee tawi la karibu yako. Isipokuwa kwa benki ya NBC na MCB.
Tatizo la SELCOM ni kuwa, faida inagawanywa katika mihimili mitatu. Benki husika, SELCOM wenyewe na wewe pia.
Lakini pia, kuna baadhi ya huduma hutozipata ukitumia SELCOM kuliko ambapo ungetumia POS ya benki husika.
Karibu Mkuu
Ndio nautumia mkuu na Mimi ni miongoni mwa watumiaji wa Huo mfumo pia unaofanyiwa majaribio Kwa kweli sijaona faida ya huo mfumo Kwa sababu una changamoto nyingi Sana wateja wengi wanakuja wanataka watoe Kwa njia ya kadi.Vipi mkuu umeshaanza kuutumia ???
Mzungu alileta mapinduzi ya hali ya juu ya kiteknolojia hasa kwenye online wire money transfer , sasa kaondoka watakuja wabongo na vi app vyao vya ku download kwenye GoogleNdio nautumia mkuu na Mimi ni miongoni mwa watumiaji wa Huo mfumo pia unaofanyiwa majaribio Kwa kweli sijaona faida ya huo mfumo Kwa sababu una changamoto nyingi Sana wateja wengi wanakuja wanataka watoe Kwa njia ya kadi.
Huu mfumo hautumii hata app huu mfumo unatumia simu kama tigopesa unaunganishwa Kwa njia ya simu Kwa kupitia line ya Airtel sasa mteja akija kutoa anatoa kwenye simu yake kwanza halafu anatumiwa namba ya Siri ya kutolea hela na inapaswa kutolewa ndani ya dk 5 ukichelewa baaada ya hapo unarudi kwenye Akaunti yake sasa changamoto hapo ni mtandao unaanza kukuambia upo chini na pia hata ukifanikiwa kuingiza hizo namba bado itakuambia muamala haupo, pia changamoto kubwa wengi wanataka kutoa Kwa kadi hapo ukiwauliza NMB wanakuambia inabidi uwe unawaelekeza waende kwenye ATM zilizopo karibu Kwa kweli hapa sijui NMB waliwaza Nini lakini wameharibu Sana.Mzungu alileta mapinduzi ya hali ya juu ya kiteknolojia hasa kwenye online wire money transfer , sasa kaondoka watakuja wabongo na vi app vyao vya ku download kwenye Google
Kwa nn wasirud kule selcom.Huu mfumo hautumii hata app huu mfumo unatumia simu kama tigopesa unaunganishwa Kwa njia ya simu Kwa kupitia line ya Airtel sasa mteja akija kutoa anatoa kwenye simu yake kwanza halafu anatumiwa namba ya Siri ya kutolea hela na inapaswa kutolewa ndani ya dk 5 ukichelewa baaada ya hapo unarudi kwenye Akaunti yake sasa changamoto hapo ni mtandao unaanza kukuambia upo chini na pia hata ukifanikiwa kuingiza hizo namba bado itakuambia muamala haupo, pia changamoto kubwa wengi wanataka kutoa Kwa kadi hapo ukiwauliza NMB wanakuambia inabidi uwe unawaelekeza waende kwenye ATM zilizopo karibu Kwa kweli hapa sijui NMB waliwaza Nini lakini wameharibu Sana.
Selcom mfumo wao ni mzuri sana kuutumia hauna shida sijui kwa nini hawautakiKwa nn wasirud kule selcom.
CRDB wao watakuja na mfumo wa simu ila watatengeneza external printer yenye uwezo wa kuaccept card itakuwa na USB Port na pia itaprint nilishoriki semina zao walitangaza hivyoHuu mfumo hautumii hata app huu mfumo unatumia simu kama tigopesa unaunganishwa Kwa njia ya simu Kwa kupitia line ya Airtel sasa mteja akija kutoa anatoa kwenye simu yake kwanza halafu anatumiwa namba ya Siri ya kutolea hela na inapaswa kutolewa ndani ya dk 5 ukichelewa baaada ya hapo unarudi kwenye Akaunti yake sasa changamoto hapo ni mtandao unaanza kukuambia upo chini na pia hata ukifanikiwa kuingiza hizo namba bado itakuambia muamala haupo, pia changamoto kubwa wengi wanataka kutoa Kwa kadi hapo ukiwauliza NMB wanakuambia inabidi uwe unawaelekeza waende kwenye ATM zilizopo karibu Kwa kweli hapa sijui NMB waliwaza Nini lakini wameharibu Sana.
Hapa vizuri Sana kama watakuja Kwa njia hiyoCRDB wao watakuja na mfumo wa simu ila watatengeneza external printer yenye uwezo wa kuaccept card itakuwa na USB Port na pia itaprint nilishoriki semina zao walitangaza hivyo
Sijui buana hizi mfumo wanabadilisha badala ya kusonga mbele wanarudi nyumaKwa nn wasirud kule selcom.
Naomba somo kidogo.CRDB wao watakuja na mfumo wa simu ila watatengeneza external printer yenye uwezo wa kuaccept card itakuwa na USB Port na pia itaprint nilishoriki semina zao walitangaza hivyo
CRDB na wao pia wanahitaji kufanya maboresho kuondokana na utaratibu wa kutoa POS machine watumie simu kwa sababu pos zinaonekana kuwa na gharama lakini pia changamoto ya mtandao na wakati mwingine zinaharibika hivyo kuhitaji matengenezoNaomba somo kidogo.
Asante kwa somo zuri.CRDB na wao pia wanahitaji kufanya maboresho kuondokana na utaratibu wa kutoa POS machine watumie simu kwa sababu pos zinaonekana kuwa na gharama lakini pia changamoto ya mtandao na wakati mwingine zinaharibika hivyo kuhitaji matengenezo
Sasa wao watadevelop application kupitia smartphone ila watakuwa na kitu kama external printer kama wale jamaa wanaosajili laini kupitia simu ila kile kifaa kitakuwa na uwezo wa mteja kuweka card alafu mtoa huduma atatumia simu yake ambayo itaunganishwa na kitu kama USB
Kidogo hata mimi naona mfumo wa nmb sio rafiki
Mfano kwa kila siku nina uhakika wa kufanya miamala ya 300k kutoa na 200k kuweka (NMB) kwa mwezi naweza nikapat Kam kias gani faida kwa makadirioCRDB na wao pia wanahitaji kufanya maboresho kuondokana na utaratibu wa kutoa POS machine watumie simu kwa sababu pos zinaonekana kuwa na gharama lakini pia changamoto ya mtandao na wakati mwingine zinaharibika hivyo kuhitaji matengenezo
Sasa wao watadevelop application kupitia smartphone ila watakuwa na kitu kama external printer kama wale jamaa wanaosajili laini kupitia simu ila kile kifaa kitakuwa na uwezo wa mteja kuweka card alafu mtoa huduma atatumia simu yake ambayo itaunganishwa na kitu kama USB
Kidogo hata mimi naona mfumo wa nmb sio rafiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata hueleweki!!yaani ufanye miamala ya kutoa yenye thamani ya tsh.10, 000, faida upate 380000?!!
Hiyo ya laki 2, kupata 1000, sawa!!
Shs ngapi???NAUZA mashine ya selecom ila uwe Arusha ili ukihitaj kubadil jina liwe lako iwe rahisi
Bei gani unauzaNAUZA mashine ya selecom ila uwe Arusha ili ukihitaj kubadil jina liwe lako iwe rahisi
Machine ya selcom ikizingua wanakubali kukupa nyingine????Bank zilizopo Selcom: Habari ndugu mteja, unaweza kuwa wakala wa benki kama NBC, NMB, ACB, ACCESSBANK, AMANA BANKI, LETSHEGO, MAENDELEO BANKI, MWALIM BANKI, UBA, NK. ila kwa upande wa NMB kwasasa kuna maboresho wanayafanya hivyo yakishakamilika tutawajulisha mlete maombi
Hii ni fursa kwa crdb mshinan wao abak kwenye POS tu atafanya kazi sanaaa sanaa,,NMB amejimix pakubwaHuu mfumo hautumii hata app huu mfumo unatumia simu kama tigopesa unaunganishwa Kwa njia ya simu Kwa kupitia line ya Airtel sasa mteja akija kutoa anatoa kwenye simu yake kwanza halafu anatumiwa namba ya Siri ya kutolea hela na inapaswa kutolewa ndani ya dk 5 ukichelewa baaada ya hapo unarudi kwenye Akaunti yake sasa changamoto hapo ni mtandao unaanza kukuambia upo chini na pia hata ukifanikiwa kuingiza hizo namba bado itakuambia muamala haupo, pia changamoto kubwa wengi wanataka kutoa Kwa kadi hapo ukiwauliza NMB wanakuambia inabidi uwe unawaelekeza waende kwenye ATM zilizopo karibu Kwa kweli hapa sijui NMB waliwaza Nini lakini wameharibu Sana.
250kBei gani unauza