Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

Matumizi ya K ndo hujaelewa yanamaanisha nini kwenye cash,ndo maana hawakuelewi taja tu fig kamili.
Kwa kusaidia mfano 100K,inamaanisha laki moja
 
Mkuu napataje machine ya selcom
 
Hebu Soma Tena ulichoandika hapa
 
Unatakiwa uwe na tin leseni na kitambulisho pamoja na barua ya utambulisho pamoja na mtaji wa laki 5 laki 3 unawekewa float na laki mbili no gharama za mashine
Sio mtaji laki mbili na laki tatu gharama ya machine????

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kinachofanyika ni kwamba
Unapopata Pos ya Selcom huwa unatembelea Benki husika unawapa taarifa zako kisha wanakuunga ambazo ni kama ifuatavyo;
1. Leseni na Tin
2. Na kama unafanya biashara ya uwakala uwe una uwezo wa kupata Kamisheni kuanzia laki 1 kwa muda wa miezi 3 mfululizo
3.Uwe fremu ya biashara sio kibanda
 
Hii ni mwaka gani mkuu, mie nimefanya hiyo biashara hakuna kitu kama hicho.
Hizo commissions uzoweka hapo ni kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…