Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya hyo 13 Pro 4G na hiyo 13 Pro 5G ni ipiSipo Mwanza kwa hiyo sijajua maduka ya huko. Kwa Tanzania Redmi Note 13 Pro 5G bei ni ghali na kuwa makini kuna *"Redmi Note 13 Pro 4G" ambayo wengi wanauza kwa laki 7 na 20, hiyo sio nzuri kama ya 5G. Bei ikiwa 700K nunua Samsung Galaxy A34, simple.
Kwa hiyo kwa kuwa upo Mwanza zunguka madukani huwezi kukosa
Pixel 6aNjoo nikuagizie simu kutoka Dubai +255759170794
SAmahani ,Umeelewa nilichokuambia lakini? Hiyo Dimensity 9300 nani kasema unaipata kwa bei hii? Simu gani nimeitaja hapa inatumia Helio G88?
MediaTek Dimensity 9300 niliitaja kukuonesha kuwa hata MediaTek wanazo chipset nzuri. Samsung Galaxy A15 inatumia MediaTek Helio G99 na sio G88. G99 inatunza sana chaji na wala hai-oveeheat. Umefuatilia battery test za GSMArena za Galaxy A15??View attachment 3024146
G99 iko poaUmeelewa nilichokuambia lakini? Hiyo Dimensity 9300 nani kasema unaipata kwa bei hii? Simu gani nimeitaja hapa inatumia Helio G88?
MediaTek Dimensity 9300 niliitaja kukuonesha kuwa hata MediaTek wanazo chipset nzuri. Samsung Galaxy A15 inatumia MediaTek Helio G99 na sio G88. G99 inatunza sana chaji na wala hai-oveeheat. Umefuatilia battery test za GSMArena za Galaxy A15??View attachment 3024146
Hata. Samsung Zina Spd and mtk cpuHutaki SPD wala MTK unataka matoleo baadhi ya Samsung....!?, Kazi unayo mkuu kupata Samsung nzuri mpya kwa budget hio.
Mkuu samahani hivi s20 na note 20 ipi ni Simi nzuri naomba ushauri na Sony ipi ni nzuriMkuu ondoa hiyo misconception kichwani mwako eti MediaTek nj mbaya, sio kweli. MediaTek wana processor nzuri ambazo zinazidi hata baadhi ya processor kali za Snapdragon kama Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2.
Kwa laki 5 tafuta AliExpress kule utapata "Xiaomi Redmi Note 13 Pro 5G" au "Xiaomi Poco X6". Hizo mbili ni simu moja ileile isipokuwa Redmi Note 13 Pro 5G ina kamera nzuri zaidi, ila almost everything else ni sawa ila sana sana tafuta hiyo Redmi kwa sababu itapokea 4 years major Android updates na 5 years security patches wakati hiyo Poco inapokea 3 na 4years updates respectively. Redmi Note 13 Pro 5G na Poco X6 zinatumia processor ya Qualcomm Snapdragon 7s Gen 2, 67W fast charger in box, stereo speaker, high quality 120Hz AMOLED display na vitu vingi vizuri
Kwa Tanzania options ni chache. Unaweza kutoa 450K ukanunua Redmi Note 13 4G yenye 8GB RAM 256GB ROM. Nayo ni nzuri na inakuja na Qualcomm Snapdragon 685, 108MP, underdisplay fingerprint scanner, stereo speakers, etc.
Au okoa pesa kwa 350K upate Samsung Galaxy A15 4G ambayo ina MediaTek Helio G99 na ndio simu bora zaidi kwa bei hii. Samsung Galaxy A24 kwa 350K pia sio mbaya. Kwa 450K unaweza pata Samsung Galaxy A15 4G yenye 8GB RAM.
Option ndio hizo ila acha kuchukia MediaTek. Cha msingi angalia sanasana uwezo wa processor kuliko jina lake
Tofauti na Snapdragon na MediaTek kwa bei hii kuna processor za Samsung Exynos na UniSoC ambazo hazitupi simu nyingi nzuri za kuchagua kwa bei hii
Iko sawaKwa wale wenye uelewa wahayo maelezo hapo kwenye picha nimenunua hiyo simu s23 ultra aliyenunua alibahatika kunitumia picha ya box na kuchukua Imei number na kuzicheck kupitia browser nakupata maelezo hayo jee iko vizur?
. Simu bado haijanifikia
View attachment 3026310
Same chip, tofauti ni battery ya note ni 4300 s ni 4000, resolution ya s ni kubwa kuliko note na camera angavu zaidi kuliko note kwa mbaliMkuu samahani hivi s20 na note 20 ipi ni Simi nzuri naomba ushauri na Sony ipi ni nzuri
Kama zipi,gaming ndo kazi nzito zaidi kwenye simu.Sa
SAmahani ,
Naomba uniambie Simu Nzuri kwa ajili ya Kazi nzito ......
Shukrani mkuu hivyo s20 ni Bora zaidiSame chip, tofauti ni battery ya note ni 4300 s ni 4000, resolution ya s ni kubwa kuliko note na camera angavu zaidi kuliko note kwa mbali
Zote ni nzuri zinakaribiana sana. Note 20 inatunza chaji kuliko S20 kwa asilimia 21 zaidi, kamera yake ina 3× optical zoom na processor yake inaishinda nguvu ya S20 kwa asilimia kadhaa.Mkuu samahani hivi s20 na note 20 ipi ni Simi nzuri naomba ushauri na Sony ipi ni nzuri
Mkuu, ahsante kwa maelezo mazuri, nimeona kuna Redmi Note 13 Pro 5G na Redmi Note 13 Pro+ 5G, nataka kujiridhisha, maelezo uliyoyatoa ni kwa hiyo ya kwanza yenye Pro bila +? Bei yake imenivutia kwa sifa ulizoeleza. Unaweza weka na hicho kipimo cha gsmarena kwa hiyo simu mkuu?Redmi Note 13 Pro 5G
Redmi Note 13 Pro 5G ni simu nzuri, hiyo Note 13 Pro Plus ni nzuri zaidi ya Note 13 pro 5G. Ingawa niliyokuwa naongelea hapo juu ni Redmi Note 13 Pro 5G ya kawaida.Mkuu, ahsante kwa maelezo mazuri, nimeona kuna Redmi Note 13 Pro 5G na Redmi Note 13 Pro+ 5G, nataka kujiridhisha, maelezo uliyoyatoa ni kwa hiyo ya kwanza yenye Pro bila +? Bei yake imenivutia kwa sifa ulizoeleza. Unaweza weka na hicho kipimo cha gsmarena kwa hiyo simu mkuu?
Mkuu naomba uzungumzie hii redimi 13cMkuu ondoa hiyo misconception kichwani mwako eti MediaTek nj mbaya, sio kweli. MediaTek wana processor nzuri ambazo zinazidi hata baadhi ya processor kali za Snapdragon kama Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2.
Kwa laki 5 tafuta AliExpress kule utapata "Xiaomi Redmi Note 13 Pro 5G" au "Xiaomi Poco X6". Hizo mbili ni simu moja ileile isipokuwa Redmi Note 13 Pro 5G ina kamera nzuri zaidi, ila almost everything else ni sawa ila sana sana tafuta hiyo Redmi kwa sababu itapokea 4 years major Android updates na 5 years security patches wakati hiyo Poco inapokea 3 na 4years updates respectively. Redmi Note 13 Pro 5G na Poco X6 zinatumia processor ya Qualcomm Snapdragon 7s Gen 2, 67W fast charger in box, stereo speaker, high quality 120Hz AMOLED display na vitu vingi vizuri
Kwa Tanzania options ni chache. Unaweza kutoa 450K ukanunua Redmi Note 13 4G yenye 8GB RAM 256GB ROM. Nayo ni nzuri na inakuja na Qualcomm Snapdragon 685, 108MP, underdisplay fingerprint scanner, stereo speakers, etc.
Au okoa pesa kwa 350K upate Samsung Galaxy A15 4G ambayo ina MediaTek Helio G99 na ndio simu bora zaidi kwa bei hii. Samsung Galaxy A24 kwa 350K pia sio mbaya. Kwa 450K unaweza pata Samsung Galaxy A15 4G yenye 8GB RAM.
Option ndio hizo ila acha kuchukia MediaTek. Cha msingi angalia sanasana uwezo wa processor kuliko jina lake
Tofauti na Snapdragon na MediaTek kwa bei hii kuna processor za Samsung Exynos na UniSoC ambazo hazitupi simu nyingi nzuri za kuchagua kwa bei hii
Aiseee this time nahitaji simu ambayo haina ishu za overheating, huwa nacreate content kwa simu sasa niliikimbia sd888 maana nilitaka kuchukua note 20 ultra ila nikakimbia ishu za overheating. 8 gen 1 sikujua pia kama ina hizo ishu,MediaTek na Snapdragon wote wana processor nzuri kwa bei tofauti tofauti. Kama unaongelea thermal management hata Snapdragon amewahi kutoa chipset zenye shida ya overheating mfano "Snapdragon 888 na 8 Gen 1"
Ukinunua simu angalia performance ya chipset zaidi kuliko kuangalia tu jina la kampuni. Lastly MediaTek za juu sio hata Helio, Kuna MediaTek Dimensity 9300, umewahi kuifuatilia. Angalia uwezo wake