Naombeni mwongozo wa kupata simu kali iliyotengenezwa kati ya 2023/24

Tofauti ya hyo 13 Pro 4G na hiyo 13 Pro 5G ni ipi
 
Sa
SAmahani ,
Naomba uniambie Simu Nzuri kwa ajili ya Kazi nzito ......
 
G99 iko poa
 
Mkuu samahani hivi s20 na note 20 ipi ni Simi nzuri naomba ushauri na Sony ipi ni nzuri
 
Kwa wale wenye uelewa wahayo maelezo hapo kwenye picha nimenunua hiyo simu s23 ultra aliyenunua alibahatika kunitumia picha ya box na kuchukua Imei number na kuzicheck kupitia browser nakupata maelezo hayo jee iko vizur?
. Simu bado haijanifikia
 

Attachments

  • 2024-06-26 05.50.55.png
    619.2 KB · Views: 6
Mkuu samahani hivi s20 na note 20 ipi ni Simi nzuri naomba ushauri na Sony ipi ni nzuri
Zote ni nzuri zinakaribiana sana. Note 20 inatunza chaji kuliko S20 kwa asilimia 21 zaidi, kamera yake ina 3× optical zoom na processor yake inaishinda nguvu ya S20 kwa asilimia kadhaa.
S20 ni nyepesi, kioo chake kina pixel density kubwa na 120Hz refresh rate. Kama advantage unapata sehemu ya kuwekea memory card.
Nunua yoyote ile, zinafanana tofauti ni ndogo tu. Angalia ipi ina bei ndogo pita nayo.
Kuhusu Sony, it depends unataka Sony ya bei gani
 
Redmi Note 13 Pro 5G
Mkuu, ahsante kwa maelezo mazuri, nimeona kuna Redmi Note 13 Pro 5G na Redmi Note 13 Pro+ 5G, nataka kujiridhisha, maelezo uliyoyatoa ni kwa hiyo ya kwanza yenye Pro bila +? Bei yake imenivutia kwa sifa ulizoeleza. Unaweza weka na hicho kipimo cha gsmarena kwa hiyo simu mkuu?
 
Redmi Note 13 Pro 5G ni simu nzuri, hiyo Note 13 Pro Plus ni nzuri zaidi ya Note 13 pro 5G. Ingawa niliyokuwa naongelea hapo juu ni Redmi Note 13 Pro 5G ya kawaida.
Simu ambayo sio ya kununua kwa bei hiyo ni Redmi Note 13 Pro 4G, hii simu haifai kuuzwa hata kwa laki 6 ila hizo za 5G ndio ziko vizuri

Kuhusu battery test zote mbili utunzaji wake wa chaji ni average. Advantage yake ni kwamba hazichukui muda kujaa chaji. Hiyo Note 13 Pro 5G inatumia around dakika 45 kujaa chaji kutoka asilimia 0 hadi 100 na hiyo Note 13 Pro Plus 5G ni around dakika 20. Charger unazikuta kwenye box
 
Mkuu naomba uzungumzie hii redimi 13c
 
Aiseee this time nahitaji simu ambayo haina ishu za overheating, huwa nacreate content kwa simu sasa niliikimbia sd888 maana nilitaka kuchukua note 20 ultra ila nikakimbia ishu za overheating. 8 gen 1 sikujua pia kama ina hizo ishu,

Nikataka kuhamia kwenye Google pixel 6 pro na yenyewe nikasikia ina ishu za overheating, hapa sijui kama nilifanganywa au lah, mwisho nikadondokea Bionic A14 ila Nimeanza kuregret maana simu inaoverheat na hili ndio nilikuwa nalikimbia.

Nishauri kama kuna soc yenye thermal efficiency nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…