Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa lilipo Dirisha langu.

Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?
 
Sukuhisho la kikatili ni kufuga nguruwe hapo.

Wakija tena basi nitalipa milion 50 kumposa dada yako
 
Nimecheka kinouma na bado nacheka tu
 
Angalia kipindi cha ukombozi wa familia kila siku saa tatu usiku chnnel ya Arise and Shine, paka wote watakimbia au kufa. Usidharau

Taifa lina safari ndefu sana kuendelea hili. Yaani paka kulia kama binadamu akitazama rise and shine hao paka wanaanza kufa na kukimbia?

Yaani watu wasomi kabisa hamuwezi hata kufanya research simple ya ku google tu kwa nini paka analia kama binadamu.. zipi ni sababu hatuwezi?

Biology ya form 1, inafundisha tabia za viumbe hai.. ila kusoma tabia za kiumbe hai paka watu hawataki wanataka tutazame rise and shine
 

Paka kipindi akiweka kwenye hit, Dume huwa analia hvyo kama anataka Mapenzi. Paka dume anajua sana kubembeleza ili apate mzigo. Ndio huwa analia hvyo. Ni hali ya kawaida kwa mapaka...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…