MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa lilipo Dirisha langu.
Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?
Na kwanini ukiwategea Sumu hawali?