Uchaguzi 2020 Naombeni tuchangie kampeni za CHADEMA kwa sababu tumeshachangia za CCM kupitia kodi zetu

Namba ya kuchangia iwekwe hapa...
Wengine hawaijui... Ila iwe sahihi sio ya wale tuma ktk namba hii
 
Kila kinachonunuliwa na serikali unajua bei yake?? Ukitaka kujua nenda ATCL au Wizara ya Fedha. Kila mtu na kazi yake wewe fanyakazi yako huwezi jua kila kitu unaweza kufa na stress tu.
Hahahhaa unajitahidi ila bado, usijibu hoja too general ununuzi wa ndege sio ununuzi wa maandazi au sio kama ununuiz wa chipsi zege ya hawara
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½Safi sana Mkuu kama ndani ya wiki tuliweza kuchanga 350 millions ili kuwakomboa viongozi wote kule lupango nina hakika hadi mid October si chini ya bilioni 2 inaweza kukusanywa. UMOJA NI NGUVU NA UTENGANO NI UDHAIFU.

Kila mwezi nitachangia million 1 mpaka October.
 
Nitachangia kiasi cha laki moja ya Kitanzania kama mchango wangu wa hiari
 
Reactions: BAK
Mnajitahidi kupiga chenga utakatishaji na fedha za maadui.

Hatuhadaiki.

Tanzania ina adui gani, ni Iran au North Korea? Nchi hii bado tuko kwenye elimu ya kunawa mikono ukitoka chooni ndio tuwe na maadui?
 

Unajua sheria ya chama chenye haki ya kupata ruzuku? Najua ww ni kilaza, ila nataka kujua kwa uhakika ukilaza wako ni wa kiwango gani.
 
Unajua sheria ya chama chenye haki ya kupata ruzuku? Najua ww ni kilaza, ila nataka kuju
Chadema inaongoza kupata fedha za ruzukuuu halafu kuwatoaza wabunge viti maalum kila mwezi million mojamojaaa, mumezipeleka waaapiiiii?
Acha ukanjanjaaaa
 
Kila mwezi nitachangia million 1 mpaka October.
Dah...miye sitachangia aslan...ni upumbavu tu...Yale makusanyo aliyokusanya mwenyekiti yako wapi? Lissu tulimchangia kiasi gani? Na kilitumika vipi? Wabunge waliopita wamepata kiinua mgongo zaidi 250 milioni...wamechangia kiasi gani? Tuache ujinga [emoji2960]
 
Nimeona jana hadi wazee wakitoa hela zao za tumbaku


Big up cdm
 
Naelewa sana Mkuu huyo anayejiita KICHAA hastahili kuendelea kuwepo madarakani. Ndani ya miaka mitano tu kaharibu kila kitu Nchini na kuleta hofu na chuki kubwa sana ndani ya jamii.

Tuko pamoja Kaka
 
Kampeni zinaweza kumfanya mtu akadhani labda ruzuku huwa zinatoka mbinguni.
 
Naelewa sana Mkuu huyo anayejiita KICHAA hastahili kuendelea kuwepo madarakani. Ndani ya miaka mitano tu kaharibu kila kitu Nchini na kuleta hofu na chuki kubwa sana ndani ya jamii.
Huwa nawaangalia sana pro-ccm nacheka sana, kwa mfano Jana hapa Sumbawanga kama mshkaji kelele nyingi kisha baadae anataka kugongea kinywaji, yaani ni maskini kiakili, kimwili na kiroho. Wanaogopa mabadiliko
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…