wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Namba ya kuchangia iwekwe hapa...
Wengine hawaijui... Ila iwe sahihi sio ya wale tuma ktk namba hii
Wengine hawaijui... Ila iwe sahihi sio ya wale tuma ktk namba hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaa unajitahidi ila bado, usijibu hoja too general ununuzi wa ndege sio ununuzi wa maandazi au sio kama ununuiz wa chipsi zege ya hawaraKila kinachonunuliwa na serikali unajua bei yake?? Ukitaka kujua nenda ATCL au Wizara ya Fedha. Kila mtu na kazi yake wewe fanyakazi yako huwezi jua kila kitu unaweza kufa na stress tu.
Hoja yako ni nini?Hahahhaa unajitahidi ila bado, usijibu hoja too general ununuzi wa ndege sio ununuzi wa maandazi au sio kama ununuiz wa chipsi zege ya hawara
Kila mwezi nitachangia million 1 mpaka October.
Iko wazi, soma tena kwa utulivuHoja yako ni nini?
Ndio
Nitachangia kiasi cha laki moja ya Kitanzania kama mchango wangu wa hiariNawaombeni wananchi wote wapenda HAKI tujitoe kuchangia walau kuanzia sh.500 ili kufanikisha kampeni za CHADEMA.
Nawaombeni msishangae kwa hilo kwa sababu tayari fedha zote za kampeni za CCM ni michango yetu sisi wananchi kupitia kodi zetu.
CHADEMA wana sera nzuri sana kama tulivyozisikia hapo Kawe, ilihali CCM wenyewe wanakomaa na ndege ambazo kiuhalisia si kipaumbele cha watanzania.
CHADEMA TOENI NAMBA ZA SIMU NA BENKI MZISAMBAZE DUNIA NZIMA MPATE MSAADA.
Suala la kuchangisha mkiwa kwenye kampeni, binafsi silikubali, linakera. Mnachotakiwa kufanya, ni kutoa maelekezo namna ya kuchangia na si kutoa maelekezo ya kubonyeza *150*...
Kumbe unataka mashindano! Basi umeshinda!Iko wazi, soma tena kwa utulivu
Hapana Mpwa, nakufundisha jinsi ya kujibu hoja, utanikumbuka siku mojaKumbe unataka mashindano! Basi umeshinda!
Mnajitahidi kupiga chenga utakatishaji na fedha za maadui.
Hatuhadaiki.
Matusi ingeku
Matusi kwa chadema hiiiii Sera mnaiwezaaa.
Vyama vyote kikiwemo hicho chako kinala kodi za watanzania. Halafu unabwabwaja eti kwa sheria gani?
Ila nikawaida yenuuu sacoss.
Tutawaomba mapato na matumizi ya hizo fedha mnazochangisha walalahoi huku nyie mnatembelea v8.
Unajua sheria ya chama chenye haki ya kupata ruzuku? Najua ww ni kilaza, ila nataka kuju
Chadema inaongoza kupata fedha za ruzukuuu halafu kuwatoaza wabunge viti maalum kila mwezi million mojamojaaa, mumezipeleka waaapiiiii?
Acha ukanjanjaaaa
Dah...miye sitachangia aslan...ni upumbavu tu...Yale makusanyo aliyokusanya mwenyekiti yako wapi? Lissu tulimchangia kiasi gani? Na kilitumika vipi? Wabunge waliopita wamepata kiinua mgongo zaidi 250 milioni...wamechangia kiasi gani? Tuache ujinga [emoji2960]Kila mwezi nitachangia million 1 mpaka October.
Nitachangia kiasi cha laki moja ya Kitanzania kama mchango wangu wa hiari
Tuko pamoja KakaAhsante sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Tuko pamoja Kaka
Huwa nawaangalia sana pro-ccm nacheka sana, kwa mfano Jana hapa Sumbawanga kama mshkaji kelele nyingi kisha baadae anataka kugongea kinywaji, yaani ni maskini kiakili, kimwili na kiroho. Wanaogopa mabadilikoNaelewa sana Mkuu huyo anayejiita KICHAA hastahili kuendelea kuwepo madarakani. Ndani ya miaka mitano tu kaharibu kila kitu Nchini na kuleta hofu na chuki kubwa sana ndani ya jamii.
Kampeni zinaweza kumfanya mtu akadhani labda ruzuku huwa zinatoka mbinguni.