Kwa wenye kujua kupekua Historia watakuta mengi ya hao mnaowaita hawajasoma au hawajavumbua vitu.
Elimu inatembea kutoka taifa na taifa kwa nyakati tofauti kufatana na mazingira ya wakati ule.
Leo huko western unaposifia na hizo picha wamejaa watu kutoka Asia wanao changia kwa sehemu kubwa kwenye elimu, teknologia na ufumbuzi.
Hiyo gari ulio ionesha katika picha ya juu isinge kuwepo bila uvumbuzi wa crankshaft uliofanywa na waislam wakati ujulikanao kama " Golden age of Islam"
Hizo computer program zake zinategemea sana Algorithm, angalia nani alikua wa kwanza kutuletea elimu Algorithm.
Hizo ndege, tafiti walioanza utafiti wa kumuwezesha binaadam kuruka
Hao wanaanga angalia mchango wa waislamu katika elimu ya anga. Majina mengi ya hizo nyota yametoka kwa waislamu.
Mchango mkubwa katika hesabu ni kutoka kwao anza na algebra mpaka hizi namba unaotumia leo - tafiti zimetoka wapi.
Ajabu unaweza kuandika ukoko hapa JF lakini huwezi kutafiti mtandaoni upate elimu ya bure
Hii hapa chini ni chembe tu ya historia.
Na kabla hujakejeli watu jiulize wewe na ukoo wako nini mumechangia cha manufaa hapa duniani? =0
Think of the origins of that staple of modern life, the cup of coffee, and Italy often springs to mind.
edition.cnn.com
View: https://youtu.be/tJJLvoDg2_E?si=8-lveObxojtup5tl
View: https://youtu.be/LyIGsPfMwFc?si=aY-VLlUZS6zU4G4X