Naombeni ufafanuzi wa hii picha

Naombeni ufafanuzi wa hii picha

Elimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.

Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
Mwarabu kagundua nini?
 
Innovation yote hiyo inatokana na Qur an ,baadhi ya wazungu wanafanya proof na hata huko kuna maendeleo na hiyo ni meme tu .

Kaa chini usome achana na porojo ,wazungu wanafanya tafiti ila wenzao wanasoma na wanajua kabisa vyanzo vya mambo mengi kupitia Qur an .
Kuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?
 
Bana
Bana
Bana

Usitutie ubaya kwa ndugu zetu we ntu🤣
Ubaya wa nini tena kijana, na sisi tunapenda hayo ili tuwape darsa.

Hivi hujaielewa R ya pili ya mama Samia> "resiliency", ukiielewa utatuelewa.

Kama ulikuwa huelewi R zile 4 za mama Samia, zote ni mafundisho ya kina ya Kiislam.

Zile R 4 ndizo kati ya sifa kuu za Bwana Mtume Muhammada salla Allahu Alayhi Wasalaam.

Nimeanza kutowa darsa lake huku, kajisomee:

Elimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.

Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
Unavyojua kujipakulia minyama sasa
 
Pitia post #11 halafu unambie wewe mgala wa bongo, lini?

Utabaki kuota unadondoka majabalini tu, Robert Heriel Mtibeli alikuwa anaota anadondokewa na videge vya ATC.

Sasa akiiona hii itabidi aote anadondokewa na space shuttle.
Huyo alipata msaada wa wagalatia wangemwacha mwenyewe asingerudi.

Uanajua faizafoxy mvinyo
inaongeza uwezo wa kufikiri
 
Ubaya wa nini tena kijana, na sisi tunapenda hayo ili tuwape darsa.

Hivi hujaielewa R ya pili ya mama Samia> "resiliency", ukiielewa utatuelewa.

Kama ulikuwa huelewi R zile 4 za mama Samia, zote ni mafundisho ya kina ya Kiislam.

Zile R 4 ndizo kati ya sifa kuu za Bwana Mtume Muhammada salla Allahu Alayhi Wasalaam.

Nimeanza kutowa darsa lake huku, kajisomee:

Kwanza elewa kuna member humu anaitwa Ironbutterfly mnamkera mnoo pale mnapomhita Rais Samia jina la Mama.

Kumuita mama wala sioni shida kwani ina hadhi pia. Mama wa Taifa kwani ndiye raia namba uno kwa sasa.

Narudi kwenye hoja yako. Nimekuwa nakwepa kusoma hizo R explanatory unazozitoa kwa sababu fulani fulani lakini nitakuja kuzisoma kwa kutulia.

Tujadili hizi slogans zinazohusu dini ya Islam na elimu zinahitaji kuangaliwa in a positive manner
 
Nichagulie Muislam mmoja tu nipe battle nitakaa kwenye red corner yeye achukue blue corner
Mimi muislamu ,nataka battle lolote lile kama unataka elimu na hata kejeli yaani maudhi nipo fresh.
 
Back
Top Bottom