Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Maneno aliyoyaongea mufti umesikiliza au ulivoona ni bakwata umesusa kusikiliza??Wewe sema usemayo, huyajuwi. Lakini all in all AlhamduliLlah tunafanya vyema sana. Unaongelea bakwata? kweli hautujuwi Waislam wa Tanzania.
Chama kilichoasisiwa na mtu wa kanisa katoliki unakiita cha Kiislam au cha Waislam? wengi tunaijuwa lakini hatuitambui. Jisomee: