Naombeni ufafanuzi wa hii picha

Naombeni ufafanuzi wa hii picha

Naona hoja imekushinda, umeliona handsome la Kiarabu lipo kwenye space shuttle linasoma Qur'an, linswali na lipo kwenye swaum, hiyo ni mwaka 1985.

Sasa waone vijana huyu wa sasa:

Hapa wa kiwa na mmiliki wa DP World:

View attachment 2732842

Na hapa mmojawao akiwa kituo cha anga za juu (space station):

View attachment 2732844


DP World hoyee.
Inamaana unahisi mimi ndo mleta mada mwenye ID zaidi ya moja?! 😀😅😅😅

Sifungamani na upande wowote kuhusiana na hilo vuguvugu linaloendelea

Huyo unayemuhisi Sio mimi😊
 
Unajua haya mambo mwisho wa siku tunaishia kushindanisha mzungu na muarabu sisi tunajisahau
Sasa sisi ni wa kushindanishwa na hao?! Hata tufanye nini katu hatutoboi! Picha linaanza tunaharibiana na kukandamizana wenyewe kwa wenyewe.

Teknolojia yetu hatuitumii kupiga hatua na kufika mbali zaidi kimapinduzi zaidi ya kuuana... nijinyamazie mimi nisiongee mengi 😅😅😅
 
We bwana ni MPUMBAVU na umejawa na chuki na dini ya kiislam tena zisizo na sababu. Kabla huja-criticize uma au dini na imani ya watu kaa chini usome, uchimbue na upekue kisha ndo uje na hitimisho.

Kwa taarifa yako sasa...

"THE BIGGEST & SAD SECRET BEHIND ADVANCED TECHNOLOGY AND EVERY INNOVATION UNAYOIONA IPO KWENYE QUR'AN TUKUFU NA WAGUNDUZI NA WAANZILISHI WA YOTE HAYO WALIKUWA NI WAISLAM..., WALIISHIA KUUWAWA! HISTORIA ZIKAFICHWA NA KUGEUZWA WAKAONEKANA WAZUNGU NDO WAMEFANYA HAYO. KABLA HUJABISHANA NA KULETA UPUMBAVU WAKO HAPA KASOME, UPEKUE, UCHIMBUE!"
mpuuzi sana wewe bwana mdogo
 
Uzi wa kudanganyana huu.

Historia ina uongo na ukweli ndani yake. Kuujua ukweli na uongo ni kazi hasa kama ushachagua upande kama wengi wetu hapa.

Sources zinaletwa ila ndo kila mwamba ngoma huvutia kwake.
 
Elimu yote kubwa ya sasa hivi chanzo chake ni Uislam kwa ushahidi kabisa na tafiti.

Hawa watu hawasomi wanadanganyana vichochoroni ivijijini huko. Hivi kanisani watafundishwa nini zaidi ya kumuabudu mzungu?
ATI ni kweli Qur'an imeandika jua linazama kwenye tope? Sura al khaf 86?
 
Anga za juu..kibla ipo upande gani?
Akili kisoda...

Katika dini ya uislam mambo yanayohusu "sheria- Fiqh" hutolewa kielimu na kwa "reference" ambayo huitwa fatawa(fatwa)....

Kabla ya kibla kuamriwa kuwa huko Makkah(Al Qaaba-black stone) waislamu walikuwa wanaelekeza nyuso zao huko Jerusalem(Bayt ul muqaddas)...Qudsi...aya zikaelekeza walekee huko Mecca...

Sasa uko anga za juu na dunia iko chini....utakuwa ni mwendawazimu kutafuta kibla cha Mecca...[emoji1787][emoji1787]

Anayeswali ataelekea KOKOTE tu....

Allahu Aalaam
(Allah ni mjuzi zaidi).

Karibu Wanzuki hapa kwa mama Lily Sondombwa [emoji120]
 
Akili kisoda...

Katika dini ya uislam mambo yanayohusu "sheria- Fiqh" hutolewa kielimu na kwa "reference" ambayo huitwa fatawa(fatwa)....

Kabla ya kibla kuamriwa kuwa huko Makkah(Al Qaaba-black stone) waislamu walikuwa wanaelekeza nyuso zao huko Jerusalem(Bayt ul muqaddas)...Qudsi...aya zikaelekeza walekee huko Mecca...

Sasa uko anga za juu na dunia iko chini....utakuwa ni mwendawazimu kutafuta kibla cha Mecca...[emoji1787][emoji1787]

Anayeswali ataelekea KOKOTE tu....

Allahu Aalaam
(Allah ni mjuzi zaidi).

Karibu Wanzuki hapa kwa mama Lily Sondombwa [emoji120]
Hapa tumewaumiza sana wagala.

Walikuwa hawayajuwi haya. Ngoja niwaongezee mpaka watie akili:

4. Hayat Sindi​

Hayat Sindi ni mwanasayansi wa matibabu mzaliwa wa Saudi Arabia ambaye ni maarufu kwa kutoa mchango mkubwa katika upimaji wa matibabu na bioteknolojia. Alipata shahada ya uzamivu katika bioteknolojia kutoka Chuo cha Newnham, Cambridge na kwa sasa ni msomi wa kutembelea katika Chuo Kikuu cha Harvard.
image-asset.jpeg

Sindi pia ameshiriki katika matukio mbalimbali yanayolenga kuinua hadhi ya sayansi miongoni mwa wanawake, hasa katika Ulimwengu wa Kiislamu. Alipokea tuzo ya Makka Al Mukaramah kwa uvumbuzi wa kisayansi, iliyotolewa na Prince Khalid bin Faisal Al Saud. Hayat amepokea sifa nyingine nyingi na pia ameteuliwa kuwa Balozi wa UNESCO. Kazi yake imetengeneza njia kwa wanawake wa Kiislamu wanaotaka katika ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu.
 
Wagala wanafikiri jikampuni linakuwa la Kimataifa mpaka linwahudumia hao wanaodhani wao kuwa wanaelewa sana, wanafikiri nyuma yake kuna mapapai.

Wangeuelewa ulimwengu wa elimu na sayansi na jinsi wazungi walivyo wezi wa kuiba mafanikio ya wengine wasingeongeaa kijinga.

wasifikiri wazungu wanaiba madini tu, wazungu wanaiba na vichwa.

Hivi hata hawafikiri kwanini wazungu wanatowa 'scholarships" za gharama ya mabilioni duninai kila mwaka? Jibu ni jepesi sana, kuiba vichwa vya maana. Vibovu vinarudi, vile vichwa vizuri hawaviruhusu kabisa kurudi makwao. Wanafanya kila njia kuvibakisha.
 
Back
Top Bottom