FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Naam, na hiyo aya ni hii hapa:Kuluwani inayosema jua linazama kwenye matope!?
Qur'an 18:86. Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. 86
Ili kukufundisha hiyo aya upate kuielewa, unafahamu maana ya neno "lexicon" kwa Kiswahili? Mimi silifahamu kwa Kiswahili lakini ntakufahamisha utanielewa tu; Wakati nasikiliza mpira nasikia, hatari pale lakini Kagere nanlambishwa vumbi, anakata mtama wa kimo cha mbuzi, mpira unakuwa mrefu unatoka nje...".
Umeelewa nini hapo?
Nnauhakika sasa umeelewa ni nini maana ya "lexicons", kma hujaelewa sema tu, ntakufahamisha.
Au ile "lexicon" ya Yesu kwenye biblia, Ya boriti na banzi la macho umeielewa vipi?
Upo hapo ulipo kijana? Usiwe na shaka ukisikia "jua limezama matopeni" hiyo ni "lexicon", sasa ukitaka kuielewa kakisome kisa kwenye hiyo reference niliyokuwekea uione raha yake, utaelewa tu, kama hujaelewa rudi hapa nikuendelezee darsa.