Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

Tembea wanawake wapo wengi kama anakupenda kweli atatafuta njia ya kuja kuishi na wewe
 
Ana miaka mingapi uyo binti , kama vipi subiri wata pokea ata robo ya iyo
 
Haukuwa tayari kwa jambo ulilolianzisha. Mgawanyo mahali ni mkubwa ukitoa kwa awamu anawapa kazi ya kukaa vikao mara kwa mara na kuongeza matumizi ya pesa. Nakuelewa ila usifikirie upande wako tu fikiria upande wao pia.
 
Ndo mana nakesha na mishangazi tuu dadek ..
Haya mambo ya kuoa ni ungese ungese tuu dadek
 
Wewe mkubalie halaf toa kama ulivopanga wewe mahal humaliziwa baadaye hata baada ya ndoa hapo ndo utatoa excuse za kutosha Ili kumalizia
 
2.3M ongezea hapo laki 2 nunua byke mpya mpe kijana apige kazi mjini kati mwisho wa mwaka una faida ya
1.5M*5yrs =7.5M una_iinvest kwenye business nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…