Mzee anaweza kuwa anaweka mazingira magumu ili jamaa ashindwe. Possibly mzee hataki jamaa amuoe binti yake. Hiyo ni moja na red flag kuonesha hiyo ni familia ya aina gani. Kimbia mapemaMmhh..kwa dunia ya sasa ilivyoharibika, jaribu kuchunguza ukaribu wa mkeo na mkweo ! 😂. Usije ukawa una force kutia mchanga kitumbua cha mzee wa watu
Hapana hapo anatakiwa kupambana ampamanie mwanamke , watu wametoa pesa na kulazwa chini wamelazwa ..Kuna jamii watu wanakata vidole mpaka mkono ili kupata mke , japo ni mambo ya kipumbavu ...Hayo mambo yanaongelea akae tu na wazee.Mzee anaweza kuwa anaweka mazingira magumu ili jamaa ashindwe. Possibly mzee hataki jamaa amuoe binti yake. Hiyo ni moja na red flag kuonesha hiyo ni familia ya aina gani. Kimbia mapema
Iko waz, ndoa ni jambo la baraka na ni bahat sana kwa ulimwengu wa sasa kizazi hiki cha kataa ndoa. Ilipaswa apewe baraka zote na hayo mengine yafanywe ziada tu.Mzee anaweza kuwa anaweka mazingira magumu ili jamaa ashindwe. Possibly mzee hataki jamaa amuoe binti yake. Hiyo ni moja na red flag kuonesha hiyo ni familia ya aina gani. Kimbia mapema
Mafala ndio wanakubaliana na ushenzi wa kipumbabu kama huuHapana hapo anatakiwa kupambana ampamanie mwanamke , watu wametoa pesa na kulazwa chini wamelazwa ..Kuna jamii watu wanakata vidole mpaka mkono ili kupata mke , japo ni mambo ya kipumbavu ...Hayo mambo yanaongelea akae tu na wazee.
Unataka jamaa apambane vipi, ajiue au akajiuze apate hiyo 2.3M ndo ataonekana mwanaume? Ameshawaambia hali yake kama hawawezi kuelewa basi hawamtaki.Hapana hapo anatakiwa kupambana ampamanie mwanamke , watu wametoa pesa na kulazwa chini wamelazwa ..Kuna jamii watu wanakata vidole mpaka mkono ili kupata mke , japo ni mambo ya kipumbavu ...Hayo mambo yanaongelea akae tu na wazee.
Binadamu wengine wanayafuata matatizo wenyewe.Kwenye mahari tu shida imeanza??
Kwahiyo utapeli umeanza mapema kabisa, kazi unayo
Wanazingua sanaKuna muda wazazi wanazingua sana 😁
Imagine unatoa hy pesa yote ili umuoe malaya aliyestaafu 🔥Sio kazi tu pia awe ana nyumba yake
Kwakweli, yaani mtu anajua hii shida ila bado anaikumbatiaBinadamu wengine wanayafuata matatizo wenyewe.
😆😆😆Mkuu umefanya nipaliwe kwa kicheko dahImagine unatoa hy pesa yote ili umuoe malaya aliyestaafu 🔥
Mm zaidi ya M nitatoa kwa mwanamke Bikira na sio used, sio unatoa pesa yote hy afu mwanamke Mwnyw sio Bikira, hana kazi yani unanunua mhuni mmoja kwa pesa nyingi ili uanze kumtengeneza awe mzuri kwa pesa zako na bado aje kukuumiza kichwa kwenye hiyo ndoa.😆😆😆Mkuu umefanya nipaliwe kwa kicheko dah
ile ni asante kwa kumtunza binti yao na kukubali jamaa kuwa sehemu ya matatizo yaoSasa kama hauzwi mbona mtoa mada hawezi kwenda kumuoa bila hela?
ee kama vp,ubaya ubayaApige chini wote binti na babake