Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

Alafu hilo jina sheikh
ohh kumbe nili sahau kukuita sheikh haji manara, maanake bado una endeleza hizi mbanga😁😂
FB_IMG_17451643330552813.jpg
 
Ukute hata hukumkuta bikra, ukute ulikutana na amboni....then mzazi anakuambia kiswahili cha kijinga namna hiyo, three options..ahirisha zoezi, toa iliyopo au mpe mimba.
Unanunua gari used , mileage laki 7 km :DESKCHAN:
 
Nina certificate kwenye bargaining skills, angefanya kunitafuta anipe hiyo kazi.

Muhimu asinikose hela ya Kiko tu 🤗

Heri ya Pasaka Mkuu 🥂
Hiyo certicate uliipata mwaka 47 sio, msaidie kijana auze uhuru wake.

Shukrani sana mkuu heri ya pasaka na kwako pia na familia.
 
Sasa kama ni asante na kukubali jamaa kuwa swhemu ya matatizo yao, mbona upande wa mke nako hawatoi mahari kwa upande wa mume kama asante kwa upande wa mume kumtunza mume na kumkubali mume kama sehemu ya matatizo yao?
Swali zuri Sana, sijui kwanini tunaona mwanaume ndo anatakiwa kutoa shukrani wakati hawa wote wamelelewa na sasa wanaanza maisha Yao, Ingefaa Sana kama wazazi wa pande zote mbili wangekuwa wanachangishana then wawape hawa watoto wao wakaanze maisha Yao ya NDOA. MAHARI NI UTAPELI ULIOCHANGAMKA
 
Mkuu pole sana je! uoni umuhimu wa kuweka namba ya babamkwe ili wanajamvi tumjulie hali natanguliza pole kwa wakatoliki kwa kumpoteza Papa
 
Swali zuri Sana, sijui kwanini tunaona mwanaume ndo anatakiwa kutoa shukrani wakati hawa wote wamelelewa na sasa wanaanza maisha Yao, Ingefaa Sana kama wazazi wa pande zote mbili wangekuwa wanachangishana then wawape hawa watoto wao wakaanze maisha Yao ya NDOA. MAHARI NI UTAPELI ULIOCHANGAMKA
Hiyo si shukurani. Hayo ni manunuzi.

Mwanamke ananunuliwa.

Ingekuwa shukurani pande zote zingetoa.
 
Ndiyo hawa wanagomea kabisa kwenda Marekani asilani abadani, lakini kumbe hawana pasipoti, hawana visa, hawana nauli, hawana pa kufikia, hawana mualiko, hawana hata ndoto za kwenda.

Sasa hapo unagomea kwenda au unajitekenya tu?
shida una tumia silaha za kivita kwenye kikao Cha kawaida aisee😂😁
 
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Mbona hiyo milioni mbili huku Dom unaweza kununua kiwanja ukapewa na hati!
Kuliko kununua mke used
ambaye kuna ex wake anamwelewa kuliko hata wewe
 
Kwani huyo babamkwe anaolewa yeye mbona anakaza sana, halafu anabargain utafikiri anauza mfugo au gari, aache binti aolewe mahari hata ilipwe awamu 10 no problema

Sema nini jamii zinatofautiana, huku kwetu akigoma ka hivyo mnaelewana na binti unamtorosha, then kesho yake washenga wanatumwa unatoa mahari kianzio uliyonayo, ila no sherehe ya harusi
Ushafanya mara ngapi😁😁
 
Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu ya kwanza nilipe Milioni moja na laki tatu, Baada ya mshenga kuwaambia hivyo Baba mkwe akajibu haiwezekani kulipa kwa awamu tatu anataka Mahari ilipwe kwa awamu mbili na tuseme awamu ya mwisho tutalipa lini, Mimi kiukweli kulipa kwa awamu mbili ni ngumu.
Sass hivi nipo naumiza kichwa.
Sasa unataka tukupe ushauri gani ikiwa hauna uwezo wa kuoa mtoto wa watu? Tafuta mtoto wa watu ambaye unaweza kummudu, usijitafutie matatizo bure.
 
Back
Top Bottom