Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sasa kama ni asante na kukubali jamaa kuwa swhemu ya matatizo yao, mbona upande wa mke nako hawatoi mahari kwa upande wa mume kama asante kwa upande wa mume kumtunza mume na kumkubali mume kama sehemu ya matatizo yao?ile ni asante kwa kumtunza binti yao na kukubali jamaa kuwa sehemu ya matatizo yao