Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Naombeni ushauri kabla hili halijaniua

Huku sasa ndio utavurugika zaidi.
Hebu tuwasikilize wazee wetu wa hovyo ERoni
Na Grahams
Hayo matatizo ya kuchapiwa yapo kwenye jamii zetu, hivyo ilipelekea Wazee Kuja na msemo wa "Kitanda hakizai haramu" ili kunusuru Ndoa zetu

Msione Wazee wenu tumeishi kwenye Ndoa miaka 20,30 ama 50 ya Ndoa, mjue tumevumilia mengi
 
Safi sana, aione ERoni
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
The choice is yours, akili mukichwa, unataka faraja Gani, hakufanya chochote be comfortable....
 
Pls nnisaidi

Mara nyingi au zote wake za watu wanapotoka nje ya ndoa zao matumizi ya kondom huwa hayafanyiki....alipokuambia hawajafanya chochote ungempeleka hospitali kudhibitisha ikibainika aliingiliwa ungetumia ushahidi huo kufungua kesi ya madai mahakani ungepiga hela dhidi ya mgoni wako....

Cha kufanya kwa sasa ni kumrudisha kwao....hayo aliokuambia yana vigezo vyote vya kuamini ni uongo aliokuambia na ukiwa legelege ataendelea na hiyo tabia.
 
potezea kaka kuchapiwa ni siri ya ndani walishasemaga wazee wa zamani.

Sahau hayo ni mapito tu focus na mambo ya maana, muonye mkeo aache mambo ya kijinga yanayo vunja heshima ya ndoa yenu.
Ushauri wa kiutu uzima Sana huu
 
Tulieni, kila mtu atachanganyikiwa. Pole mkuu, mke ni wako na mapenzi hayashauliki
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Potezea afu then fuatilia kwa umakini nyendo zake, mawasiliano yake. Utajua ukweli.

Nolichojufunza kwenye ndoa mwanamke hatakiwi awe huru kupita kiasi. Hakikisha unamfanya awe busy muda wote na unajua kila point aliyopo. Ukiweza hata kuhack simu zake muhimu sana. Wanawake ni rahisi sana kuwa tempted, Ni jana rahisi sana kubadili mawazo akiambiwa tu na kuwekwa kwenye comfort zone
 
Labda kama wewe na huyo mwanamke wote ni wakike.

Hakuna mwanamme kamili anayeweza fanya ufala wa namna hiyo wa kuishi na mwanamke mzinzi.
Haina noma, ukiwa online kua mwamba tu, nyuma ya camera ishi uhalisia
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Ukweli ni kwamba kaliwa na this translates kwamba huwa analiwa na huyo jamaa mara kwa mara, what's between them it a permanent relationship.
Huwa kuna mtiririko wa sababu ambazo husababisha hayo, it's either mkeo by nature ni malaya(mama huruma akiombwa hawezi kukataa) au kwa uzoefu wake kabla ya kuwa na wewe alizoea ukunwaji flani ambao wewe hauupatii au hauna uwezo nao au ameendekeza njaa(finances) na inaweza kuwa nje ya sababu hizo.
Asichojua ni kwamba anajiaibisha yeye zaidi katika jamii zaidi ya anavyokusibisha wewe, haiwezekani akaingie ndani ya nyumba ya mtu anayekubali kuwa huwa anamtongoza. Aliingia ndani kufanya nini kwa mtu anayemtongoza, angekataa je angeingia ndani kwake?
Wanasemaga 'the husband is always the last one to know' which means mpaka wewe umejua mtaa mzima wanajua, kafanya upumbavu wa hali ya juu.
Ongea naye mueleze picha halisi aliyoitengeneza kwa kujidhalilisha na kukudhalilisha wewe katika kiwango hicho, she is your wife hivyo wewe ndiye unayeweza kumsoma kama kwa dhati kabisa anaweza kuacha umalaya wake au hawezi. Ukipata majibu utaamua mwenyewe kusuka au kunyoa. Decide whatever at your own peril.
 
Ahahahahh
Yaani jamaa alikuwa anamtongoza kitambo tu.
Halafu jamaa kaingia naye ndani
Halafu hawajafanya lolote
Halafu alipotea njia .
Mwanamke akigongwa nje hapo hakuna ndoa
 
Dah sijasoma comments za watu ila nimecheka sana,hicho kitendo cha kuongozana na stranger hadi nyumbani kwake.
 
Habari zenu, Kwa kweli naomba mnipe ushauri maana ni siku ya tano sasa sili wala silali mpaka nimeamua kuja mbeli zenu mnipe Masada WENU
Maana naona sasa naenda kupata tatizo la moyo.

Kisa kiko hivi mm nimeoa Kwa ndoa kabsa na ndoa ina miaka 3, tumebahatika kupata mtoto mmoja, Mimi na mke hatukuwahi kuwa na ugomvi wowote mm na yeye.
Kila kitu nilijitahidi kumtimizia kadili ya uwezo, na baadae nikamfungulia Duka.
Sasa wiki moja nyuma nilipata safari ya ghafla
nikasafiri baada ya kusafiri nimekaa kama siku tatu mke wangu akaniambia kuwa kuna jirani kapata msiba akumuone.
Basi mm nikamruhusu aende baada ya kwenda masaa kama mawili napigiwa simu na jamaa yangu kuwa kamuona akiwa na jamaa wakiingia ndani Kwa jamaa.
Niliumia Sana kupata taarifa hizo ikabidi nigeuke Kesho yake na kumhoji kuwa ilikuwaje anidanganye kuwa anaenda msibani kumbe si kweli.
Akaniambia kuwa ameenda ila akapotea na wakati anarudi ndo amekutana na jamaa ambaye alikuwa anamtongoza na kuongozana kwenda kwake ila akaniambia kuwa hawakufanya mapenzi.
Sasa nimeshindwa kuamini kuwa kweli hawakufanya na na je mwanamke kama huyu anastahili msamaha hata kama kweli hakucheat?
Pls nisaidieni
Yani hapo umesimuliwa umechanganyikiwa ungeona live, acha ujinga endelea na maisha mpka uone live never trust rumors
 
Back
Top Bottom